The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 3,611
- 9,269
Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe...
Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka, fedha za wizi na ufisadi, bunduki za Polisi na majeshi yake ya siri akidhani zitaepusha anguko la utawala wa CCM na kifo chake mwenyewe iwapo ataendelea kutofanya maamuzi sahihi kujikoa yeye na nafsi yake...
Rais Samia Suluhu Hassan bado yupo kwenye hali ya kujikana na kujikataa mwenyewe (denial mode)...
Rais Samia Suluhu Hassan hataki kabisa aidha kwa makusudi au kwa kudanganywa kukubali ukweli na kukiri kuwa serikali yake, kwa KIBALI na AMRI yake iliua watu raia zaidi ya 10,000 wasio na hatia wakiwemo watoto, kina mama na kina baba na vijana kwa makusudi kabisa, kinyume cha sheria...
Rais Samia hataki kabisa kuukubali UKWELI na KUKIRI kuwa, serikali yake inateka watu, inawatesa, inawatia ulemavu, inawapoteza na wengine kuwaua kinyume cha sheria na utaratibu. Ushahidi wa haya yote upo dhahiri na serikali imeshindwa kufanya lolote kukomesha tatizo hili ikiwa ni ushahidi ya kuwa, yenyewe ndiyo inafanya uhalifu huu...
Rais Samia Suluhu Hassan, suluhisho la mgogoro wa serikali yako na wananchi sio kuunda TUME YA MARIDHIANO kurudia kosa lilelile ambalo ulishalifanya mwaka 2021. Je, bado unataka kuendelea kuwa mjinga na mpumbavu tu hata kama unayo nafasi ya kutoka huko...?
Rais Samia Suluhu Hassan, Suluhisho la mgogoro wa serikali yako na umma (wananchi) ni kuanza kwanza kujua UKWELI wa kila kilichotokea kabla ya uchaguzi, wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi 29/10/2025...
Rais Samia Suluhu Hassan, kuwa na hekima, busara na ujasiri wa kutenda HAKI na Mungu wa HAKI atakuwa upande wako pia. Acha ujasiri wa dhuluma na mauaji utakuangamiza mwenyewe mwishoni...
Inuka na simamia uundwaji wa chombo cha kimahakama kisheria kinachoitwa TUME YA UKWELI NA MARIDHIANO (TRUTH & RECONCILIATION COMMISSION) ituletee ukweli na sababu halisi ya kilichotokea, iwatambue wote waliohusika kuua watu wetu, iwatambue wote walioathirika na ituletee mapendekezo ya nini cha kufanya nk...
Sikiliza mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan. Mungu anakupenda sana. Hata watu wanakupenda kama binadamu mwemzao japo kwenye ya uongozi wa u - Rais kwa kweli hufai na hau-fit kwa kuwa uwezo wako wa fikra za uongozi hautoshi. Huu ni ukweli unaoumiza sana lakini ndio ukweli na lazima uambiwe ili upone...
Na kwa sababu hiyo👆, kama unataka kupona kwenye shida ya msongo wa mawazo unaopitia Rais Samia Suluhu Hassan na kuepuka kuangamia kwako, basi hupaswi kabisa kuogopa kutaja na kuyatendea kazi maneno HAKI na UKWELI wakati wowote, mahali popote...
UKWELI humweka mtu huru. Kinyume chake ni kuwa UONGO na DECEPTION humweka mtu kwenye kifungo cha gereza hatari kabisa linaloweza kukuua...
Acha kujidanganya. Stop deceiving your people. Jikane mwenyewe. Dharau heshima bandia, kubali kuonekana mjinga lakini jiokoe wewe na watoto wako before it's too late...