Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

Rais wangu bila kupepesa macho wala kuona haya wewe ndo chanzo cha matatizo ya umeme nchini yote haya yana baraka zako na chanzo ni wewe

Mama aliingia akakuka shirika la Tanesco na umeme ulikua umetengamaa kwa kiasi kikubwa.

Akaanza kubadilisha watu wa Tanesco na kuweka watu aliyowaona yeye....Hapa anaulaumiwa yeye.

Akaja kumtumbua Kalemani, kosa la kumtoa kalemani hakulitoa, lakini za chini chini zinadai ni personal issues, kuogopa legacy ya mwendazake, na mambo ya ukabila, akamuweka makamba, makamba kaingia matatizo yakaanza....Hapa Rais ni wa kulaumiwa hadi Akhera

Hakuishia hapo tu, umeme ulipoanza kuharibiwa na makamba hakukemea wala kuhoji au kumgombeza makamba alitulia kama "halimuhusu vile"....,Samia unastahili lawama.

Gesi ikapanda, wakati huo huo waziri anazunguka kugawa mitungi ya Taifa gesi na Mihan kwa kutumia pesa za umma huku hiyo kampuni waziri ana hisa humo....Rais hakuongea chochote zaidi ya kuacha yaendelee.

Tanesco wakakodi app kutoka India kwa bilioni 69 Rais kimyaaa

Makamba akaanza kuivuruga Tanesco yeye na maharage wakaja na matengenezo yasiyokwisha pesa zikiwa hazijulikani.zinapokwenda Rais kimyaaa

Maharage akaingiza kitengo cha kampuni yake ya huduma kwa Wateja rais kimyaa

Nchi ikarudi Gizani Rais kimyaaa

Halafu mnasema Rais asilaumiwe kwenye hili la umeme kwani yakiwa yanatokea si yalikua na baraka zake?Au mnataka kusema wakati yote yakijiri yeye alikua usingizini?

Tunazunguka sana kuwalaumu wengine huku tukisahau mtu anayestahili kulaumiwa na kunyooshewa kidole ni "SAMIA SULUHU HASSAN" huyu ndo chanzo cha matatizo yote na yeye ndo aliyewapa "greenlight" kina Makamba wafanye wanavyotaka.

Mnawalaumu Tanesco wakati wao wanafata tu wanachoambiwa?Au mmesahau Tanesco ni watu wa "ndio mzee" wanafata maagizo ya wakubwa? Kipindi cha magufuli waliambiwa hamna kukata umeme au migao na wakatii sasa tuwalaumu Tanesco wakati wao wanafuata maagizo ya "Samia na Makamba?"

Ingekua nchi nyingine huyu Samia angejiuzulu tu na kuwajibishwa pamoja na Makamba na Maharage lakini bahati tunatawaliwa na mfumo na bunge ambalo ni la chama kimoja tu.

Kuhusu umeme wakulaumiwa na Rais Samia kwa 100%
100%
 
Mnapenda kutafuta visingizio[emoji23][emoji23]

Kipindi cha hayati mgao uliendaga wap??
Kama mgao ulikuwa haupo hizi Kauli zilitokana na nini?
Screenshot_20231224-170201.jpg
Screenshot_20231224-170129.jpg


Pili kwani hujui kipindi Cha Hayati wako uchumi ulikufa? Waliokuwa wanafunga maduka Posta walikuwa ni awamu ya 6?

Sifa Moja ya Misukule ya Mwendazake ni brainless
 
Enzi zile complaints zilizimwa kwa fimbo
Kumbe unajua.Ndio maana nasema tafuteni wapumbavu ndio muwe mnawahadithia.

Mimi Nina Hadi data za Mama Janet alivyotapeliwa na yet watu walidai wanamuogopa sana Jiwe.

Likewise kwenye Ufisadi.
 
Lawama za kipumbavu sana hizi. Moderator futa hii. Wewe mleta uzi elewa umeme wa Tanzania hautoshi na pia tayari kuanzia awamu ya 3 TANESCO imehujumiwa mno.... imekuwa ikilipa fedha nyingi kwa kuingia mikataba mibovu iliyosababishwa na watanzania wenzetu. Hata angekuwepo Magufuli bado tatizo lingeendelea. Tusubiri bwawa likamilike tujiondoe kwenye hili tatizo.
Ni mpu mbavu pekee ndie anaeweza kuamini kuwa bwawa la nyerere litakua suluhu ya matatizo ya umeme hapa Kula kwa urefu wa kamba yako
 
Ma butcher ya nyama yameanza kutumia magogo kukatia nyama,
 
We una ndizi, we mbwa Samia siyo size yako. Kipindi cha bandari masaa 24 ulikesha humu na uzushi, upotoshaji, ulinunuliwa na mafisadi. Sahivi unahangaika sijui kakutuma nani, we nyau hangaikia mkate wako rais ni level we ni mdogo kuliko sisimizi. Mfuate yule mshambako kaburini akuongoze kule.
ww kipara ni lijizi kunguru wewe
 
Kwa nini? Nchi nyingine kama ipi hiyo ambayo Rais Huwa anajiuzulu Kwa sababu ya umeme? 😁😁

Tuanze na Kenya na South Africa,umesikia Rais amejiuzulu?

Mwisho unamdanganya nani kwamba kipindi Cha Magufuli umeme ulikuwa haukatiki au hakuna mgao? Nikuwekee ushahidi?

Acha ujinga mkuu
kunguru nyie mnakera sana
 
TANESCO shikilieni hapohapo mgao uwe saa 16 daily tumeanza kuimba wimbo mmoja sasa!
 
Kama ni hivyo hukuwa na haja ya kulalamika.
Silalamiki naona wivu, siku zote kama hujapata nafasi ya kuiba lazima ulalamike siku ukiipata unakuwa kimya ndiyo maisha ya bongo
 
We jamaa si ndo ulikuwa unaongoza kumtukana jiwe na kumtukuza huyo mama? Ukweli mnaanza kuuona. Mwaka unaisha sasa tuko gizani
 
Back
Top Bottom