physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 875
- 1,090
Kaa wewe nyumbani ulee wajukuu.Mzee mzima bado jf.Kwanza kwa umri wake anatakiwa kukaa nyumbani na kulea wajukuu..
Ameitudisha nchi miaka 15 iliyopita
Kaa wewe nyumbani ulee wajukuu.Mzee mzima bado jf.Kwanza kwa umri wake anatakiwa kukaa nyumbani na kulea wajukuu..
Ameitudisha nchi miaka 15 iliyopita
We una ndizi, we mbwa Samia siyo size yako. Kipindi cha bandari masaa 24 ulikesha humu na uzushi, upotoshaji, ulinunuliwa na mafisadi. Sahivi unahangaika sijui kakutuma nani, we nyau hangaikia mkate wako rais ni level we ni mdogo kuliko sisimizi. Mfuate yule mshambako kaburini akuongoze kule.
We una ndizi, we mbwa Samia siyo size yako. Kipindi cha bandari masaa 24 ulikesha humu na uzushi, upotoshaji, ulinunuliwa na mafisadi. Sahivi unahangaika sijui kakutuma nani, we nyau hangaikia mkate wako rais ni level we ni mdogo kuliko sisimizi. Mfuate yule mshambako kaburini akuongoze kule.
Ulisikia yeye ni fundi umeme?Rais wangu bila kupepesa macho wala kuona haya wewe ndo chanzo cha matatizo ya umeme nchini yote haya yana baraka zako na chanzo ni wewe
Mama aliingia akakuta shirika la TANESCO na umeme ulikua umetengamaa kwa kiasi kikubwa.
Akaanza kubadilisha watu wa TANESCO na kuweka watu aliyowaona yeye....Hapa anaulaumiwa yeye.
Akaja kumtumbua Kalemani, kosa la kumtoa Kalemani hakulitoa, lakini za chini chini zinadai ni personal issues, kuogopa legacy ya mwendazake, na mambo ya ukabila, akamuweka Makamba, Makamba kaingia matatizo yakaanza....Hapa Rais ni wa kulaumiwa hadi Akhera
Hakuishia hapo tu, umeme ulipoanza kuharibiwa na Makamba hakukemea wala kuhoji au kumgombeza Makamba alitulia kama "halimuhusu vile"....,Samia unastahili lawama.
Gesi ikapanda, wakati huo huo waziri anazunguka kugawa mitungi ya Taifa gesi na Mihan kwa kutumia pesa za umma huku hiyo kampuni waziri ana hisa humo....Rais hakuongea chochote zaidi ya kuacha yaendelee.
TANESCO wakakodi app kutoka India kwa bilioni 69 Rais kimyaaa
Makamba akaanza kuivuruga TANESCO yeye na Maharage wakaja na matengenezo yasiyokwisha pesa zikiwa hazijulikani zinapokwenda Rais kimyaaa
Maharage akaingiza kitengo cha kampuni yake ya huduma kwa Wateja rais kimyaa
Nchi ikarudi Gizani Rais kimyaaa
Halafu mnasema Rais asilaumiwe kwenye hili la umeme kwani yakiwa yanatokea si yalikua na baraka zake? Au mnataka kusema wakati yote yakijiri yeye alikua usingizini?
Tunazunguka sana kuwalaumu wengine huku tukisahau mtu anayestahili kulaumiwa na kunyooshewa kidole ni "SAMIA SULUHU HASSAN" huyu ndo chanzo cha matatizo yote na yeye ndo aliyewapa "greenlight" kina Makamba wafanye wanavyotaka.
Mnawalaumu TANESCO wakati wao wanafata tu wanachoambiwa?Au mmesahau TANESCO ni watu wa "ndio mzee" wanafata maagizo ya wakubwa? Kipindi cha Magufuli waliambiwa hamna kukata umeme au migao na wakatii sasa tuwalaumu TANESCO wakati wao wanafuata maagizo ya "Samia na Makamba?"
Ingekua nchi nyingine huyu Samia angejiuzulu tu na kuwajibishwa pamoja na Makamba na Maharage lakini bahati tunatawaliwa na mfumo na bunge ambalo ni la chama kimoja tu.
Kuhusu umeme wakulaumiwa na Rais Samia kwa 100%
Umeme haujawahi kuwa sawa hata kabla ya Makamba. MW 1600 ni kidogo hata kama angekuja malaika kuongoza hiyo wizara bado angelaumiwa tu. Kama kumlaumu Makamba inawasaidia kiafya basi ni vyemaMkuu unataka kutetea nini kwenye hili la Tanesco? Toka ameingia Makamba Umeme ulianza kuwa tatizo kubwa hadi sasa na akasema ana karabati lakini hadi leo hakuna kilicho karabatiwa kabisa…! Gas ilipanda juu juu
Kaa kimya watu wazima wanapoongea.Chawa lingine hili. Wao matatizo ya
inci hayawahusu, wako after posho za uchawa
Umeme haujawahi kuwa sawa hata kabla ya Makamba. MW 1600 ni kidogo hata kama angekuja malaika kuongoza hiyo wizara bado angelaumiwa tu. Kama kumlaumu Makamba inawasaidia kiafya basi ni vyema
Kwani Mahitaji ni ngapi na uzalishaji ni ngapi?Uchakavu wa mitambo hausababishi mgao Bali unasababisha katika katika ya umeme.
Mgao upo Kwa sababu umeme uko kidogo kuliko unaohitajika.
Rais KimyaaaaMwanae ana kampuni ya solar
Yaani Dkt Samia kuna kakikundi kamemgeuza kikaragosi yaani ikifika 2025 hako kakikundi katamuambia asigombee maana wananchi hawampendi na hakika hiki kikundi kimefanikiwa kumdanganya kama haamini asubili watanganyika watakachomfanya 2025, maana ushauri alipewa makamba ni jambazi etcCha ajabu watu walisha sahau hicho kisingizio cha ukarabati zinatolewa sababu zengine ila yeye Samia akaturudisha tena kwenye ukarabati et mitambo haikuwa ikifanyiwa service.
Kachezee papuchi ya mkee sio kuja hapa na hoja nyepesi kutetea uozo wa SamiaUlisikia yeye ni fundi umeme?
Madhali wewe ni ajuza na huna unachoweza kufanya .Unafikiria wote watu wote ni kama ajuza wewe,usiweza kufanya chochote,upo upo tu.Sio kweli mkuu kila kitu mnamuonaga innocent huyo ajuza kipi anachoweza kukifanya?
jaribu kujibu hoja za mtoa uziMAMA YETU MPENDWA ANATUPIGANIA SANA.
HAIWEZEKANI MAMA ARIDHIKE NA GIZA NYUMBANI KAMWE
Sina mama wa hovyoMama yako sio mama yangu.