Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,425
Ni sawa lakini na watendaji tanesco wanapaswa kubeba lawama kwa kutoweka mbele professionalism na badala yake wanahofia kufukuzwa kazi tu basi.
Ni wao haohao waliambiwa msikate umeme hawakukata na wao haohao wameambiwa kata umeme wanakata, inamaana wanasiasa ndio wataalamu wa uzalishaji na ugawaji umeme na sio wataalamu wetu wa tanesco?!
Kwanini asitokee jasiri mmoja akamwambia waziri, bwana mkubwa; situation ya sasa hairuhusu kukata umeme kwa sababu upo wa kutosha hivyo HATUKATI, kisha akafukuzwa kazi kwa kulinda profession yake akaenda kuomba kazi hata nchi za nje na hiyo cv yake ambayo inakuwa imepanda abrutly?
Watendaji Tanesco wakifukuzwa kazi utawatunzia familia zao. Acha ujinga wewe