TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,586
- 18,738
Alitenda niniAlikua mtendaji nzur sana pamoja na madhaifu yake
Alitenda niniAlikua mtendaji nzur sana pamoja na madhaifu yake
Na wewe kuwa chawa kama unatamaniChawa huyo mkuu
Nenda kagoogle Kenya wana megawatts ngapi na SA wana megawatts ngapi halafu ndo uje urudishe pua yako hapa kujibizana na mimiWe nyumbu nimekwambia hivi hizo Nchi nimekutajia sio tuu Zina mgao Bali hazina umeme kabisa.
Rais amejiuzulu? [emoji2781][emoji2781]
Bado hujasema!Rais wangu bila kupepesa macho wala kuona haya wewe ndo chanzo cha matatizo ya umeme nchini yote haya yana baraka zako na chanzo ni wewe
Mama aliingia akakuka shirika la Tanesco na umeme ulikua umetengamaa kwa kiasi kikubwa.
Akaanza kubadilisha watu wa Tanesco na kuweka watu aliyowaona yeye....Hapa anaulaumiwa yeye.
Akaja kumtumbua Kalemani, kosa la kumtoa kalemani hakulitoa, lakini za chini chini zinadai ni personal issues, kuogopa legacy ya mwendazake, na mambo ya ukabila, akamuweka makamba, makamba kaingia matatizo yakaanza....Hapa Rais ni wa kulaumiwa hadi Akhera
Hakuishia hapo tu, umeme ulipoanza kuharibiwa na makamba hakukemea wala kuhoji au kumgombeza makamba alitulia kama "halimuhusu vile"....,Samia unastahili lawama.
Gesi ikapanda, wakati huo huo waziri anazunguka kugawa mitungi ya Taifa gesi na Mihan kwa kutumia pesa za umma huku hiyo kampuni waziri ana hisa humo....Rais hakuongea chochote zaidi ya kuacha yaendelee.
Tanesco wakakodi app kutoka India kwa bilioni 69 Rais kimyaaa
Makamba akaanza kuivuruga Tanesco yeye na maharage wakaja na matengenezo yasiyokwisha pesa zikiwa hazijulikani.zinapokwenda Rais kimyaaa
Maharage akaingiza kitengo cha kampuni yake ya huduma kwa Wateja rais kimyaa
Nchi ikarudi Gizani Rais kimyaaa
Halafu mnasema Rais asilaumiwe kwenye hili la umeme kwani yakiwa yanatokea si yalikua na baraka zake?Au mnataka kusema wakati yote yakijiri yeye alikua usingizini?
Tunazunguka sana kuwalaumu wengine huku tukisahau mtu anayestahili kulaumiwa na kunyooshewa kidole ni "SAMIA SULUHU HASSAN" huyu ndo chanzo cha matatizo yote na yeye ndo aliyewapa "greenlight" kina Makamba wafanye wanavyotaka.
Mnawalaumu Tanesco wakati wao wanafata tu wanachoambiwa?Au mmesahau Tanesco ni watu wa "ndio mzee" wanafata maagizo ya wakubwa? Kipindi cha magufuli waliambiwa hamna kukata umeme au migao na wakatii sasa tuwalaumu Tanesco wakati wao wanafuata maagizo ya "Samia na Makamba?"
Ingekua nchi nyingine huyu Samia angejiuzulu tu na kuwajibishwa pamoja na Makamba na Maharage lakini bahati tunatawaliwa na mfumo na bunge ambalo ni la chama kimoja tu.
Kuhusu umeme wakulaumiwa na Rais Samia kwa 100%
Na hapo ndio utagundua Samia karithi nothingNenda kagoogle Kenya wana megawatts ngapi na SA wana megawatts ngapi halafu ndo uje urudishe pua yako hapa kujibizana na mimi
Unapanik broo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliongeza MW ngapi kwenye grid ya taifa?Wakati wake hakukua na haya maujinga ya mama enu
Megawatt ndio zinazuia mgao? 😂😂Nenda kagoogle Kenya wana megawatts ngapi na SA wana megawatts ngapi halafu ndo uje urudishe pua yako hapa kujibizana na mimi
Unapanik broo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii hoja kama una akili za Chipukizi lazima upaniki,tulia watu wazima wadadavue issues!Kwa nini? Nchi nyingine kama ipi hiyo ambayo Rais Huwa anajiuzulu Kwa sababu ya umeme? [emoji16][emoji16]
Tuanze na Kenya na South Africa,umesikia Rais amejiuzulu?
Mwisho unamdanganya nani kwamba kipindi Cha Magufuli umeme ulikuwa haukatiki au hakuna mgao? Nikuwekee ushahidi?
Acha ujinga mkuu
🗑️🗑️🗑️ Taja Nchi zingine Rais alikokouzulu Kwa sababu ya umeme.Hii hoja kama una akili za Chipukizi lazima upaniki,tulia watu wazima wadadavue issues!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kwani mikakati yote ya sasa aliandaa Nyerere?Bwawa la Mwalimu Nyerere alilojenga Magufuli ni legacy ya Nyerere,sasa wewe ulitaka aweke Energy strategy ipi,wakati ata Mabwawa tunayotumia sasa yeye ndiye aliyajenga!Semeni Nyerere kabisa
Maana hakuacha any viable
Energy strategy
Hawana umeme kabisa kivipi wakati ata kiuchumi wapo juu yetu?We nyumbu nimekwambia hivi hizo Nchi nimekutajia sio tuu Zina mgao Bali hazina umeme kabisa.
Rais amejiuzulu? [emoji2781][emoji2781]
Alihakikishq nchi inakuwa gizani kama sasa!Alitenda nini
Wewe si unataka kulaumu kiongozi aliyekaa kwenye power for two years? Huko nyuma watangulizi waliweka nini?Kwani mikakati yote ya sasa aliandaa Nyerere?Bwawa la Mwalimu Nyerere alilojenga Magufuli ni legacy ya Nyerere,sasa wewe ulitaka aweke Energy strategy ipi,wakati ata Mabwawa tunayotumia sasa yeye ndiye aliyajenga!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
he did it
Achana na Chipukizi uyo!Nenda kagoogle Kenya wana megawatts ngapi na SA wana megawatts ngapi halafu ndo uje urudishe pua yako hapa kujibizana na mimi
Unapanik broo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnapenda kutafuta visingizio[emoji23][emoji23]Megawatt ndio zinazuia mgao? [emoji23][emoji23]
Fala wewe kumbe huna hata akili.Kwa taarifa Yako tuu South Africa ndio ina installed capacity kubwa Africa yote ila inaongoza Kwa mgao hapa Africa.
Sifa Moja ya nyumbu ni brainless [emoji3][emoji3]
Kuwa Juu kiuchumi ndio kunazuia kuwa na mgao wa umeme? Kwani Tzn haiko Juu ya Uganda Kiuchumi kwani Uganda Kuna mgao?Hawana umeme kabisa kivipi wakati ata kiuchumi wapo juu yetu?
Acha kuleta hoja za chipukizi kwenye mijadala ya watu wazima!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app