Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

Lawama za kipumbavu sana hizi. Moderator futa hii. Wewe mleta uzi elewa umeme wa Tanzania hautoshi na pia tayari kuanzia awamu ya 3 TANESCO imehujumiwa mno.... imekuwa ikilipa fedha nyingi kwa kuingia mikataba mibovu iliyosababishwa na watanzania wenzetu. Hata angekuwepo Magufuli bado tatizo lingeendelea. Tusubiri bwawa likamilike tujiondoe kwenye hili tatizo.
Huu upuuzi katafute wa kuwaambia. Huyo bibi kashindwa kazi na hajui wala Hana vision ya kile kinachotakiwa kifanyike. 2025 arudi akaleee wajukuu labda ndio kazi anayoiweza. Maana haiingii akilini, Leo umtoe Kalemani hakuna mgao aingie Makamba na mgao uanze, huu si wizi .
 
Suluhisho ni kuruhusu TANESCO iondokane na ukiritimba wa uzalishaji na usambazaji wa umeme.

Tukubali tu kuwa Tanzania ya 2023 ni tofauti kabisa na ile ya 1980, ina watu milioni 64 na wanaongezeka kila kukicha, mahitaji yao yanazidi kuwa makubwa, na shirika bado ni lile lile lenye miundo mbinu ya kizamani,

TANESCO aletewe washindani wenye uwezo na sio mfumo mzima wa CCM kuendelea kulinda shirika huku wakiwa na mianya ya kupiga pesa za umma wakitumia udhaifu wa uendeshaji uliopo hivi sasa.
 
CCM kutafuta pesa za kampeni kupitia hii njia ya kuwanyima watu umeme ili tu matajiri wakusanye pesa ya kampeni kwa CCM, ni uharamia.
Siku zote ccm hupata pesa za kampeni kupitia njia hizi. Mgao wa umeme wa kutengeneza na kuiba BoT. Hata hii bei ya mafuta Kuna namna inafanyika hapa .
 
Huu upuuzi katafute wa kuwaambia. Huyo bibi kashindwa kazi na hajui wala Hana vision ya kile kinachotakiwa kifanyike. 2025 arudi akaleee wajukuu labda ndio kazi anayoiweza.
Chuki za mfumo dume zinatesa akili yako, kwamba tupo tayari kuteseka na rais mwanaume kisa tu ni mwanaume hata kama anachokifanya ni uonevu na ukabila wa dhahiri!.

Tuwe wapole asili iendelee kufuata mkondo wake. SSH alipangiwa na Mungu kwamba 2021 March ataapishwa kuwa rais wa Tanzania, haya magubu yetu yataendelea tu kututesa na kutuumiza.
 
Hakuna gubu hapo. Kama Magufuli alisema migao ya umeme ni hujuma na yeye hataruhusu, umeme ni kweli haukuwa wa mgao. Iweje alipoingia Makamba na Kibaraka wake pale Tanesco migao uanze!? Nani wa kumuamini hapa, Magufuli au huyo bibi!? Mind you, Magufuli amekuwa kwenye senior position serikalini Kwa miaka 20, huyo bibi amewahi kufanya kazi Gani hasa!?
 
Very true
 
Magufuli alilazimisha ufanisi kwa ajili ya manufaa ya nchi hii, lakini pia aliogopwa hivyo nidhamu iliyokuwepo ni ile ya uoga na yeye aliifurahia hiyo hali.

Hivyo TANESCO walikuwa wakifanya kazi kwa presha kutoka ikulu, mitambo ikawa haikarabatiwi pia wingi wa watu ukamaanisha ongezeko la matumizi ya nishati katika mazingira yale yale ya ufanisi mdogo wa miaka yote.

Siwezi kumlaumu Samia kwa kuamua kuwa mkweli katika utendaji mzima wa serikali kuliko JPM aliyependd kuogopwa na matokeo yake shirika la umeme likazidi kuteketea kila kukicha.
 
Wewe ni riongo
 
Matatizo ya Umeme yaliqnzq miaka 1990 hadi sasa hakuna alieweza kumqliza tatizo hili.....sijui kuna laana au upigaji .....
 
Rais wangu bila kupepesa macho wala kuona haya wewe ndo chanzo cha matatizo ya umeme nchini yote haya yana baraka zako na chanzo ni wewe

Mama aliingia akakuta shirika la TANESCO na umeme ulikua umetengamaa kwa kiasi kikubwa.

Akaanza kubadilisha watu wa TANESCO na kuweka watu aliyowaona yeye....Hapa anaulaumiwa yeye.

Akaja kumtumbua Kalemani, kosa la kumtoa Kalemani hakulitoa, lakini za chini chini zinadai ni personal issues, kuogopa legacy ya mwendazake, na mambo ya ukabila, akamuweka Makamba, Makamba kaingia matatizo yakaanza....Hapa Rais ni wa kulaumiwa hadi Akhera

Hakuishia hapo tu, umeme ulipoanza kuharibiwa na Makamba hakukemea wala kuhoji au kumgombeza Makamba alitulia kama "halimuhusu vile"....,Samia unastahili lawama.

Gesi ikapanda, wakati huo huo waziri anazunguka kugawa mitungi ya Taifa gesi na Mihan kwa kutumia pesa za umma huku hiyo kampuni waziri ana hisa humo....Rais hakuongea chochote zaidi ya kuacha yaendelee.

TANESCO wakakodi app kutoka India kwa bilioni 69 Rais kimyaaa

Makamba akaanza kuivuruga TANESCO yeye na Maharage wakaja na matengenezo yasiyokwisha pesa zikiwa hazijulikani zinapokwenda Rais kimyaaa

Maharage akaingiza kitengo cha kampuni yake ya huduma kwa Wateja rais kimyaa

Nchi ikarudi Gizani Rais kimyaaa

Halafu mnasema Rais asilaumiwe kwenye hili la umeme kwani yakiwa yanatokea si yalikua na baraka zake? Au mnataka kusema wakati yote yakijiri yeye alikua usingizini?

Tunazunguka sana kuwalaumu wengine huku tukisahau mtu anayestahili kulaumiwa na kunyooshewa kidole ni "SAMIA SULUHU HASSAN" huyu ndo chanzo cha matatizo yote na yeye ndo aliyewapa "greenlight" kina Makamba wafanye wanavyotaka.

Mnawalaumu TANESCO wakati wao wanafata tu wanachoambiwa?Au mmesahau TANESCO ni watu wa "ndio mzee" wanafata maagizo ya wakubwa? Kipindi cha Magufuli waliambiwa hamna kukata umeme au migao na wakatii sasa tuwalaumu TANESCO wakati wao wanafuata maagizo ya "Samia na Makamba?"

Ingekua nchi nyingine huyu Samia angejiuzulu tu na kuwajibishwa pamoja na Makamba na Maharage lakini bahati tunatawaliwa na mfumo na bunge ambalo ni la chama kimoja tu.

Kuhusu umeme wakulaumiwa na Rais Samia kwa 100%
Kuna chawa wa Mama namsubiria aje tuu hapa nione comment yake nianze kucheka. 😂
 
Nakumbuka ulikuwa mfuasi wa SAMIA ukimtukana Magufuli. Umegeuka sasa unamponda SAMIA. Nini kimekukumba?
 
Back
Top Bottom