Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

Kosa kubwa sana la Dkt Samia ni kutaka kubadili ghafla yale ya Dkt Magufuli. Ila wasera wemepiga hela jamani ila basi tu. Tusiokuwa na channel basi tu.
Kufuata mkumbo na ndicho tunachokiona kwa sasa
 
Ukibeba profession unafukuzwa kazi!!

Ile ishu ya kufungulia maji bwawa la Mtera ili mgao utokee wale waliojaribu kukataa kwani walifanywa nini?
Nilisema ukiwa professional huwezi ogopa kufukuzwa kazi!
 
Bongo hakuna professionalism,ni kufata maagizo ya wanasiasa tu
Basi kama hivi ndivyo nasi ni wasaidizi wakubwa wa wahujumu wa nchi hii, kama unapata nafasi kwa kusaidiwa na mwanasiasa kwa sababu wewe ni chawa wake, utakwenda kufanya anayokuagiza yeye sii kutumikia umma.
 
Ila Ile timu ya Makamba / Maharage ingelirudisha taifa miaka hamsini nyuma.
The guys were Clueless,
Incompetent, corrupt and arrogant.
Mnakumbuka Makamba kwa kutumia akili yake aliyojaaliwa ukiongeza na elimu yake ndio alileta utaratibu wa ovyo kwamba kukiwa na tatizo la umeme huko usweken Nachingwea, watu watoe ripoti makao makuu, wakati huo huo watu wa Machame wanatoa ripoti makao makuu, wakati huohuo watu wa Bumbuli na Kakonko wanatoa ripoti makao makuu hayo hayo.
Mkumbuke TANESCO makao makuu huwa hawapokei simu.
Hivi Makamba alikua na maana gani?
Somebody, please enlighten me.
 
Rais wangu bila kupepesa macho wala kuona haya wewe ndo chanzo cha matatizo ya umeme nchini yote haya yana baraka zako na chanzo ni wewe

Mama aliingia akakuka shirika la Tanesco na umeme ulikua umetengamaa kwa kiasi kikubwa.

Akaanza kubadilisha watu wa Tanesco na kuweka watu aliyowaona yeye....Hapa anaulaumiwa yeye.

Akaja kumtumbua Kalemani, kosa la kumtoa kalemani hakulitoa, lakini za chini chini zinadai ni personal issues, kuogopa legacy ya mwendazake, na mambo ya ukabila, akamuweka makamba, makamba kaingia matatizo yakaanza....Hapa Rais ni wa kulaumiwa hadi Akhera

Hakuishia hapo tu, umeme ulipoanza kuharibiwa na makamba hakukemea wala kuhoji au kumgombeza makamba alitulia kama "halimuhusu vile"....,Samia unastahili lawama.

Gesi ikapanda, wakati huo huo waziri anazunguka kugawa mitungi ya Taifa gesi na Mihan kwa kutumia pesa za umma huku hiyo kampuni waziri ana hisa humo....Rais hakuongea chochote zaidi ya kuacha yaendelee.

Tanesco wakakodi app kutoka India kwa bilioni 69 Rais kimyaaa

Makamba akaanza kuivuruga Tanesco yeye na maharage wakaja na matengenezo yasiyokwisha pesa zikiwa hazijulikani.zinapokwenda Rais kimyaaa

Maharage akaingiza kitengo cha kampuni yake ya huduma kwa Wateja rais kimyaa

Nchi ikarudi Gizani Rais kimyaaa

Halafu mnasema Rais asilaumiwe kwenye hili la umeme kwani yakiwa yanatokea si yalikua na baraka zake?Au mnataka kusema wakati yote yakijiri yeye alikua usingizini?

Tunazunguka sana kuwalaumu wengine huku tukisahau mtu anayestahili kulaumiwa na kunyooshewa kidole ni "SAMIA SULUHU HASSAN" huyu ndo chanzo cha matatizo yote na yeye ndo aliyewapa "greenlight" kina Makamba wafanye wanavyotaka.

Mnawalaumu Tanesco wakati wao wanafata tu wanachoambiwa?Au mmesahau Tanesco ni watu wa "ndio mzee" wanafata maagizo ya wakubwa? Kipindi cha magufuli waliambiwa hamna kukata umeme au migao na wakatii sasa tuwalaumu Tanesco wakati wao wanafuata maagizo ya "Samia na Makamba?"

Ingekua nchi nyingine huyu Samia angejiuzulu tu na kuwajibishwa pamoja na Makamba na Maharage lakini bahati tunatawaliwa na mfumo na bunge ambalo ni la chama kimoja tu.

Kuhusu umeme wakulaumiwa na Rais Samia kwa 100%
We una ndizi, we mbwa Samia siyo size yako. Kipindi cha bandari masaa 24 ulikesha humu na uzushi, upotoshaji, ulinunuliwa na mafisadi. Sahivi unahangaika sijui kakutuma nani, we nyau hangaikia mkate wako rais ni level we ni mdogo kuliko sisimizi. Mfuate yule mshambako kaburini akuongoze kule.
 
Kosa kubwa sana la Dkt Samia ni kutaka kubadili ghafla yale ya Dkt Magufuli. Ila wasera wemepiga hela jamani ila basi tu. Tusiokuwa na channel basi tu.
HUyo mshamba mwenzio hakuna alichokifanyia nchi hii labda uwanja wa kuanikia dagaa kule kwake. Washamba ni washamba tu
 
Kwanza kwa umri wake anatakiwa kukaa nyumbani na kulea wajukuu..

Ameitudisha nchi miaka 15 iliyopita
 
Kosa kubwa sana la Dkt Samia ni kutaka kubadili ghafla yale ya Dkt Magufuli. Ila wasera wemepiga hela jamani ila basi tu. Tusiokuwa na channel basi tu.
Kwahiyo ungekuwa na channel na wewe ungepiga?!
 
Rais wangu bila kupepesa macho wala kuona haya wewe ndo chanzo cha matatizo ya umeme nchini yote haya yana baraka zako na chanzo ni wewe

Mama aliingia akakuka shirika la Tanesco na umeme ulikua umetengamaa kwa kiasi kikubwa.

Akaanza kubadilisha watu wa Tanesco na kuweka watu aliyowaona yeye....Hapa anaulaumiwa yeye.

Akaja kumtumbua Kalemani, kosa la kumtoa kalemani hakulitoa, lakini za chini chini zinadai ni personal issues, kuogopa legacy ya mwendazake, na mambo ya ukabila, akamuweka makamba, makamba kaingia matatizo yakaanza....Hapa Rais ni wa kulaumiwa hadi Akhera

Hakuishia hapo tu, umeme ulipoanza kuharibiwa na makamba hakukemea wala kuhoji au kumgombeza makamba alitulia kama "halimuhusu vile"....,Samia unastahili lawama.

Gesi ikapanda, wakati huo huo waziri anazunguka kugawa mitungi ya Taifa gesi na Mihan kwa kutumia pesa za umma huku hiyo kampuni waziri ana hisa humo....Rais hakuongea chochote zaidi ya kuacha yaendelee.

Tanesco wakakodi app kutoka India kwa bilioni 69 Rais kimyaaa

Makamba akaanza kuivuruga Tanesco yeye na maharage wakaja na matengenezo yasiyokwisha pesa zikiwa hazijulikani.zinapokwenda Rais kimyaaa

Maharage akaingiza kitengo cha kampuni yake ya huduma kwa Wateja rais kimyaa

Nchi ikarudi Gizani Rais kimyaaa

Halafu mnasema Rais asilaumiwe kwenye hili la umeme kwani yakiwa yanatokea si yalikua na baraka zake?Au mnataka kusema wakati yote yakijiri yeye alikua usingizini?

Tunazunguka sana kuwalaumu wengine huku tukisahau mtu anayestahili kulaumiwa na kunyooshewa kidole ni "SAMIA SULUHU HASSAN" huyu ndo chanzo cha matatizo yote na yeye ndo aliyewapa "greenlight" kina Makamba wafanye wanavyotaka.

Mnawalaumu Tanesco wakati wao wanafata tu wanachoambiwa?Au mmesahau Tanesco ni watu wa "ndio mzee" wanafata maagizo ya wakubwa? Kipindi cha magufuli waliambiwa hamna kukata umeme au migao na wakatii sasa tuwalaumu Tanesco wakati wao wanafuata maagizo ya "Samia na Makamba?"

Ingekua nchi nyingine huyu Samia angejiuzulu tu na kuwajibishwa pamoja na Makamba na Maharage lakini bahati tunatawaliwa na mfumo na bunge ambalo ni la chama kimoja tu.

Kuhusu umeme wakulaumiwa na Rais Samia kwa 100%
nisaidie kusumirize tafadhali, unamalamiko mazito hasa
 
Basi kama hivi ndivyo nasi ni wasaidizi wakubwa wa wahujumu wa nchi hii, kama unapata nafasi kwa kusaidiwa na mwanasiasa kwa sababu wewe ni chawa wake, utakwenda kufanya anayokuagiza yeye sii kutumikia umma.
Hii nchi ina matatizo sana
 
Ila Ile timu ya Makamba / Maharage ingelirudisha taifa miaka hamsini nyuma.
The guys were Clueless,
Incompetent, corrupt and arrogant.
Mnakumbuka Makamba kwa kutumia akili yake aliyojaaliwa ukiongeza na elimu yake ndio alileta utaratibu wa ovyo kwamba kukiwa na tatizo la umeme huko usweken Nachingwea, watu watoe ripoti makao makuu, wakati huo huo watu wa Machame wanatoa ripoti makao makuu, wakati huohuo watu wa Bumbuli na Kakonko wanatoa ripoti makao makuu hayo hayo.
Mkumbuke TANESCO makao makuu huwa hawapokei simu.
Hivi Makamba alikua na maana gani?
Somebody, please enlighten me.
Makao makuu kitengo cha Customer care ilikua ni kampuni ya mwenziwe maharage alifanya hivyo ili kuboost biashara ya mwenzie maharage kama.alivyogawa mitungi ya taifa gesi ili kuboost biashara zake na rostam

Makamba ni disgraceful kwa nchi hii
 
We una ndizi, we mbwa Samia siyo size yako. Kipindi cha bandari masaa 24 ulikesha humu na uzushi, upotoshaji, ulinunuliwa na mafisadi. Sahivi unahangaika sijui kakutuma nani, we nyau hangaikia mkate wako rais ni level we ni mdogo kuliko sisimizi. Mfuate yule mshambako kaburini akuongoze kule.
[emoji1787][emoji1787]samia yupi huyo yule mzururaji au[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom