Rais Samia, wakulima wa Miwa wanatishia kukibomoa Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri

Sasa kukibomoa kiwanda itasaidia nini kama sio kuendeleza ujinga na umasikini. Yaani serikali inajaribu kuwaletea kiwanda halafu wakibomoe. Watanzania wana utamaduni wa kulalamika huwezi kupata serikali inafanyia watu vitu vingi kama watanzania wakulima halafu ni walalamishi kila siku kuna viongozi kibao lakini utakuta hata habari hizi wakulima hao hawajawaambia kuna wabunge......... wako wapi?. Mkitaka kujua Tanzania tuna wavivu wengi tuwaruhusu wakenya waje kulima Morogoro kwa miaka 5 tu tuone.
Umeandika vizuri lakini hauko sahihi.
Hakun mkulima hasiyependa maendeleo, na ndiyo maana waliacha mashamba ya mpunga na ku-opt kulima miwa.
Ukiona mtu anafikia maamuzi hayo fahamu kuna kitu hakipo sawa.
 
Kuna mambo ya ajabu hapo...NSSF inajenga kiwanda cha sukari inaalika outgrowers kulima miwa...yenyewe imeshindwa kuanza uzalishaji na outgrowers hawana mahali pa kuuza miwa yao.Benki ya Azania ambayo inamilikiwa na NSSF yenyewe inatoza riba ya ucheleweshaji wa marejesho ya mikopo!!!
 
Back
Top Bottom