Nami ningepata nafasi ya kupendekeza na huyo mpendekezwa wangu kama angekuwa bado yu hai ningemtaja Marin Hassan Marin. Mola amuhifadhi huko alipo.
kweli kabisa marehemu alipambana sana lakini nyota yake iligoma kung'aa , R.I.P Komred Marinkwel
ha ha ha ...We Shaban hebu tulia
Unaanzisha Nyuzi mbilimbili zote Unalilia Shaaban Kisu asisahauliwe kwenye uDED na uDAS huku ukitaja sifa nyingiiii, you sound like Shaabn Kisu mwenyewe. I didn't know that Shaaban kisu ndo Unatumia Username ya SOPINTO.Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea. Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama...
KAZI IENDELEEE
Tayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea. Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama...
KAZI IENDELEEE
Marehemu ndiye aliyeharibu taratibu na sheria. DEDs wanatakiwa kutoka miongoni mwa watymushi wa serikali waliofikia ngazi fulani. Hizi siyo nafasi za makada.MaDED wabaki kuwa watendaji na sio wateuliwa, hawa ni profeesional na sio politicians, wacha wachaguliwe kwa utendaji uliotukuka, haya makosa ya mzee baba yanatakiwa kurekebishwa.
Watanzania Bwana, fanya kuombea familia yako wenzako washakula mema ya nchiTayari mikeka kadhaa imeishapita lakini jina la MC wa Serikali Shabani Kissu bado halijatokea. Mama Samia nafasi za MaDED nakuomba umkumbuke huyu kada Shaban kaishatumikia sana chama na ni Mtendaji mzuri tu aliyetukuka katika nafasi mbalimbali ndani na nje ya chama...
KAZI IENDELEEE
kweli kabisa kadaumeamkaje Shaban,komaa haiwezekani wewe uko kitambo kuliko kina Zakaria