Rais Samia: "Ukiwapa serikali hao wataunda chama"

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,972
Reaction score
22,922
Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto

Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu.

#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTV
1694495964629.jpg
 
Amkeni ninyi hakuna elimu ya bure,
Nacho jua me elimu ni gharama,
Siku zote ninacho amini cha bure hakina maana,
Wanatupa elimu mbovu ya bure isiyo na maana,
Na ndio maana siku hizi tuna wasomi wajinga sana.
Ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania bado ipo pending pia, tutasubiri sana
 
"Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan

"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia

#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
 
Mipasho apeleke kwao Pemba sisi tunachokitaka ni kuwa na uongozi unaoweza kuwajibika vyema kulinda rasilimali watu na rasilimali vitu.

Haiyumkiniki akubali mkataba wa kutoa bandari nchi nzima kwa makubaliano yasiyokuwa na mwisho ategemee wenye akili watamnyamazia.
 
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Mvuta bangi at least anajielewa.

Mpelekee leo karatasi ya mkataba kukodi shamba lake usionyeshe ukomo wake uone kama atakubali,hao unaohisi wana akili wao wanaishi zama za mawe kusaini mikataba ya milele.
 
"Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan

"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia

#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Mawazo ya kipumbavu
 
Kikao cha masimango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini mama hadi anatia huruma kweli chadema imeiva haswa tayari kuongoza nchi
 
Amkeni ninyi hakuna elimu ya bure,
Nacho jua me elimu ni gharama,
Siku zote ninacho amini cha bure hakina maana,
Wanatupa elimu mbovu ya bure isiyo na maana,
Na ndio maana siku hizi tuna wasomi wajinga sana.
Bure Elimu kwa kila Mtanzania, kwa kweli tulipifikia ni mahali ovyo kabisa, Wananchi lazima tuungane kuleta Demokrasia ya kweli Tanzania,Nchi ni yetu sote hakuna mwenye hati miliki, Waliopo madarakani na wengine wachache wanaoona kuwa fursa ni CCM Lazima tuwabadili mawazo yao waone kuwa fursa ni Tanzania na sio chama ili waache mawazo ya uchawa na kukumbatia chama na wote tusimame kwa ajili ya mustakabali wa nchi.
 
Mvuta bangi at least anajielewa.

Mpelekee leo karatasi ya mkataba kukodi shamba lake usionyeshe ukomo wake uone kama atakubali,hao unaohisi wana akili wao wanaishi zama za mawe kusaini mikataba ya milele.
Yule hayawani anajielewa nini? Mnamjaza ujinga tu naye anajaa! Akishajaa analipuka, anakamatwa na Polisi na kutiwa ndani huku nyinyi kwenye mitandao mnabakia kuandika hashtags za #️⃣ FreeMdude. Nyinyi mnabakia makwenu wakati mwenzenu anachezea kifiro rumande
 
"Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan

"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia

#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Kulalamika ndio kawaida yake, lakini mawazo yake kayapeleka 2025, afanye kazi aache kulalamika.
 
Back
Top Bottom