Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 17,644
- 27,720
Wewe ambaye umekataa unaishi nchi gani? Au uko ughaibuni unaosha vizee vilivyojinyea kwenye nursing homes?Umekubali kuongozwa na msomi wa Records Management and Libraly.
Wewe ambaye umekataa unaishi nchi gani? Au uko ughaibuni unaosha vizee vilivyojinyea kwenye nursing homes?Umekubali kuongozwa na msomi wa Records Management and Libraly.
Na wewe ungelelewa vizuri usingekuwa mke wa nne,ungekuwa na mume wa ujana wako.Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto
Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu.
#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Rushwa ya Bandari kutoka kwa Waarabu isitutenganishe.Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Inasikitisha kwa kweli....wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu. Mkuu majibu yapo hapa
Msatari wa mwisho uzingatiwe.Amkeni ninyi hakuna elimu ya bure,
Nacho jua me elimu ni gharama,
Siku zote ninacho amini cha bure hakina maana,
Wanatupa elimu mbovu ya bure isiyo na maana,
Na ndio maana siku hizi tuna wasomi wajinga sana.
Naelewa CCM huko nyuma walikuwa na matusi sana lakini Mama ameshika madaraka na hajawahi kutukana upinzani majukwaani na alileta muafaka ambao Mbowe na vyama vyengine ndio waasisi wake matusi hakuna ni kujenga hoja tu juu ya majukwaa lakini mtu kama Tundu Lissu anaporomosha matusi na ubaguzi wa kidini kumdhalilima mama kwa sababu dini na kuwadhalilisha wazanzibari ambako huko nyuma alishakana na Maalim Seif kuwatetea wazanzibari leo anawadhalilisha kwa sababu ya dini
Mbona hajatokea rais wa Tanganyika kumshinda mama?Hiyo hotuba ya jana imedhihirisha kwamba bibi yetu ni mweupe kichwani.
Hamna kitu hapo, urais ameupata kwa kubebwa tu .
Shetani Magufuli aliambiwa ukweli wake na ilikuwa stahiki yake!Muasisi wa masimango ni Tundu Lisu anayemsimanga Shujaa Magufuli kila apandapo jukwaani
Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto
Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu.
#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Mkuu wakili wako yupo karibu nawe?Na wewe ungelelewa vizuri usingekuwa mke wa nne,ungekuwa na mume wa ujana wako.