Rais Samia: "Ukiwapa serikali hao wataunda chama"

Rais Samia: "Ukiwapa serikali hao wataunda chama"

Mvuta bangi at least anajielewa.

Mpelekee leo karatasi ya mkataba kukodi shamba lake usionyeshe ukomo wake uone kama atakubali,hao unaohisi wana akili wao wanaishi zama za mawe kusaini mikataba ya milele.
Amkeni
 
"Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan

"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia

#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Tundu hataki maridhiano na CCM toka mwanzo, huyu Rais anaongea matope kiasi kikubwa hivi. Yeye kalelewa vizuri na wazazi wake ndio wamemfundisha aibe mali ya Watangamyika awape Waarabu. Ama kafundishwa kuwa mkatili kwa Wamasai. Huyu Mama Abdul hana jipya.
 
"Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto,"- Rais @samia_suluhu_hassan

"Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu,"- Rais Samia

#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Hii ni hotuba au mipasho?
 
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Na hii ndio iq kubwa uliyonayo ya kujadili person life badala ya hot issues and challenges with way forward unahangaika na upuuzi! And you call yourself a great thinker! Pathetic!
 
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Huwa unavuta naye bangi? Kama kweli huwa unavuta naye, basi yumkini wewe utakuwa unamdhulumu mwenzako. Maana kwa vyovyote itakuwa wewe unavuta mara kumi yake!!
 
Yule hayawani anajielewa nini? Mnamjaza ujinga tu naye anajaa! Akishajaa analipuka, anakamatwa na Polisi na kutiwa ndani huku nyinyi kwenye mitandao mnabakia kuandika hashtags za #️⃣ FreeMdude. Nyinyi mnabakia makwenu wakati mwenzenu anachezea kifiro rumande
Inaonekana wewe ni mwenyeji Sana huko rumande za magereza na polisi Hadi unajua mnavyofanyiwa! Hongera mwenyeji wa mahabusu!
 
Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto

Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu.

#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Kuna watu wamezaliwa kuwa wabishi na kuona wafanyacho wenzao ni hamna kitu
 
Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Wewe usiyevuta bange umesaidia nini kubust mchakato wowote nchi hii ?!. Ni rahisi kubeza huku mchango wako ukiwa zero.
Bora hata ya Nyangali, ambaye kupitia kwake tunaelewa si kila amri ya police ni ya kutii .
 
Chandema badilikeni endesheni siasa za kistarabu au basi muwe na fronts tofauti tofauti kulingana na hadhi ya kiongozi haiwezekani mwenyekiti na makamu wake woongoze front ya matusi/distraction.
 
Back
Top Bottom