Rais Samia: "Ukiwapa serikali hao wataunda chama"

Rais Samia: "Ukiwapa serikali hao wataunda chama"

Chama kinachosubiri Mdude Nyagali atoe tamko ni mfu, tena kinaongozwa na very low energy and mediocre IQ.
How on earth Mdude_Nyagali mvuta bangi ndiye anatangaza maandamano mbele ya viongozi wake wakiwa wana hangaikia michepuko?
Kwa mujibu wa Katiba na sheria Ana HAKI zoote kwenye nchi yake

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Wewe naye huna akili kwani yeye siyo mwananchi ? Wew ambaye siyo fala si muache
Yaani na wewe kabisa ni mwananchi unayewqkilishwa na Mdude? Muangalie anavyoropoka na asivyo na maadili halafu jiangalie na mwenyewe. Kama kweli uko na taswira ya Mdude basi wewe ni hayawani
 
Huwa unavuta naye bangi? Kama kweli huwa unavuta naye, basi yumkini wewe utakuwa unamdhulumu mwenzako. Maana kwa vyovyote itakuwa wewe unavuta mara kumi yake!!
Wewe sasa ndiyo unavuta bangi!! Sikukutegemea ujifiche kwenye kivuli cha huyu mtu mshenzi ambaye hana maadili
 
Yaani na wewe kabisa ni mwananchi unayewqkilishwa na Mdude? Muangalie anavyoropoka na asivyo na maadili halafu jiangalie na mwenyewe. Kama kweli uko na taswira ya Mdude basi wewe ni hayawani
Hujui chochote unapotezea muda watu tu
 
Inaonekana wewe ni mwenyeji Sana huko rumande za magereza na polisi Hadi unajua mnavyofanyiwa! Hongera mwenyeji wa mahabusu!
Mbona hizi taarifa anakili mwenyewe kwenye maandishi yake!! Wala huhitaji kuwa mahabusu kujua walimfanya nini
 
Chandema badilikeni endesheni siasa za kistarabu au basi muwe na fronts tofauti tofauti kulingana na hadhi ya kiongozi haiwezekani mwenyekiti na makamu wake woongoze front ya matusi/distraction.
Taja tusi hata moja waliomtolea Rais. Vinginevyo huna hoja.

Kukosolewa siyo kutukanwa .
 
Na mwingine kaumbwa hivyo roho yake basi tu, raha zake aone ugomvi mabishano hivyo, na huyo amua leo mwambie mimi nakupa serikali na wenzio hao, ataunda chama chengine awapinge wale wenzie aliokuwa nao, na ndiyo tunayoyaona huko kwao, ukiona hawapo hapa sio tu kwamba labda kuna kununa, huko kwao ndani hakukaliki ndani kuna moto

Uhuru wa kutoa maoni una mipaka yake, kama ulizaliwa na Baba yako na Mama yako ukalelewa vyema, ukapitishwa kwenye mafunzo ya dini maneno mengine huwezi kuyasema, mengine tunayoyashuhudia kwenye mitandao aliyelelewa vizuri hawezi kuyasema, si wote tumepata bahati hiyo, wengine wamechipuka tu hivyo wameona dunia ndiyo hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo kila unachomuambia anaitikia kama jogoo, kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, anachokijua duniani ni jogoo tu.


#MkutanoBarazaVyamaVyaSiasa
#EastAfricaTVView attachment 2746602
Samia raha sana ukimsikiliza nje ya maandishi rasmi. Huwa anatiririka sana
 
Yaani na wewe kabisa ni mwananchi unayewqkilishwa na Mdude? Muangalie anavyoropoka na asivyo na maadili halafu jiangalie na mwenyewe. Kama kweli uko na taswira ya Mdude basi wewe ni hayawani
Kwa hiyo wale wabunge wanaopiga sarakasi bungeni ndiyo wawakilishi waungwana ?!. Bora hata ya Nyangali , unajua anasimamia nini !!
 
Mipasho apeleke kwao Pemba sisi tunachokitaka ni kuwa na uongozi unaoweza kuwajibika vyema kulinda rasilimali watu na rasilimali vitu.

Haiyumkiniki akubali mkataba wa kutoa bandari nchi nzima kwa makubaliano yasiyokuwa na mwisho ategemee wenye akili watamnyamazia.
Kweli Chadema ime-collapse ni aibu sana mtu kama Tundu Lissu kuwa juu ya jukwaa na kuporomosha matusi na ubaguzi wa kidini badala ya kujenga hoja, mimi si muumini wa CCM lakini lazima tukubali Tanzania upinzani unayumba sana zaidi ya sana na ni hatari huenda ccm ikasalia madarakani miaka mingi ijayo.
 
mimi si muumini wa CCM lakini lazima tukubali Tanzania upinzani unayumba sana zaidi
Ikiwa upinzani umeyumba bila shaka hata CCM imeyumba, kumbuka vinara wa kutoa matusi majukwaani ni CCM, sijui kama unalijua hilo.

Ni vyema kabla hujawahukumu wapinzani kikosoe kwanza chama tawala
 
Back
Top Bottom