Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,011
- 5,688
Kwan kes siyo ya michongo??Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Unaonekana wewe ni kati ta watu wasiyo itakia amani nchi yetu Tanzania.Hapo vip!!

Mkuu watu wa aina ya mleta uzi ni kati ya wale wasiyojulikana hawaitakii mema ncho yetu ili wao waendelee kujipatia mkate wao wa kila siku.Kwan kes siyo ya michongo??
Juzi huko mpakan kumetokea nn??
Hao kina kingai wanafanya kazi gan mpaka magaidi wameingia kufanya uharifu?
Wanaona ugaidi wa Mbowe usiokuwepo, na unaotokea hawauoni??
Acha kutetea ujinga, haya ndyo aliyoyaendekeza polepole Sasa hv yanamtokea kwa pua,!!
Jifunze ustaarabu wa kuish na watu, roho mbaya sio dili
Mbona hata Samia mwenyewe anajua kuwa hii ni kesi ya kubambika. Anajikaza tu mbele za watu kusema uongo.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Wewe ni mmoja wa middle class makatili ,wenye roho katili na watakaotuletea familia katili,sijui imani yako ila kama nawe unajumuika kwenye nyumba takatifu nitasikitika mno,wewe unastahili uende kwenye mahekalu ya ushetani. Nchi yetu inahitaji familia zenye upendo wa haki.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Hapo vip!!

Huyu mtu siyo mtanzania kabisa kwa roho mbaya kama nyokaWewe ni mmoja wa middle class makatili ,wenye roho katili na watakaotuletea familia katili,sijui imani yako ila kama nawe unajumuika kwenye nyumba takatifu nitasikitika mno,wewe unastahili uende kwenye mahekalu ya ushetani. Nchi yetu inahitaji familia zenye upendo wa haki.
Nimefatilia ile kesi kwa kufika mahakamani lakini pia kwenye mitandao ya kijamii hakika sio mwanasheria ila maswali ni mengi kuliko majibu sio kuingilia muhimbili wa mahakama lakini kesi ile niya uongo.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Swali makini kutoka kwa mtu makini.Kibatala: Najua Mheshimiwa Jaji umeshatoa Uamuzi Kwamba Hitilafu hizo haziwezi Kuzuia Upokelewaji wa Vielelezo, Swali ni Mpaka Lini?? Kwanini Kila Ushahidi Wao Una Mapungufu? Kila Wanacho leta Kipo Vibaya Mbele ya Sheria.. Wanatanufaika na Jambo hili Mpaka Lini.?
Wee endelea kuombea rais awe anaingilia mahakama.Mkuu watu wa aina ya mleta uzi ni kati ya wale wasiyojulikana hawaitakii mema ncho yetu ili wao waendelee kujipatia mkate wao wa kila siku.
Ikiwa dola haikutaki lazima ufanyiwe vitimbi tu kesi za namna hii zipo tangu enzi. Mfano kesi ya Mandela na akafungwa, Robert Mugabe nk. Wote hawakutakiwa na state na walifumgwa. Unaposema mtu hafuati sheria maana yake haswa ni kwamba usiwaudhi wakubwa, waimbie tu mapambio ya sifa utalambishwa mkate.Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai.
Niseme tu ,kama Rais atasikiliza maigizo ya Zitto Kabwe ya kumuombea mbowe msamaha atakuwa ameingia kwenye mtego hatari mno kisiasa,kisheria na kiusalama katika nchi yetu.
Ni wazi Kabwe mara nyingi alidai yakwamba hii kesi ni yakutengenezwa na wanahusika viongozi wakubwa,jambo ambalo halina ukweli wowote.
Sasa siku Rais akimsamehe mbowe kama zitto alivyomuomba,nataka nimuambia Rais anaingizwa kwenye mtego mbaya na na matokeo yake nikuinajisi mahakama,kuizalilisha jamhuri yakwamba kesi zao ni za mchongo mchongo.
Pia hawa wapiga tarumbe dhidi ya kesi ya mbowe watapata kibali cha kuidhihirishia ulimwengu yakwamba wewe ni rahis wa ovyo wa kuwabambikia wapizani kesi,na kisha kuwasamehe kimagumashi.
Pia mwanasiasa mwingine mwenye nia ya kufanya tukio kama la mbowe hata ogopa kufanya hivyo,kwasababu anajua Dunia itapiga kelele,kumbuka muhalifu ni muhalifu tu hata Dunia ipige kelele.
Sina mashaka mashtaka ya mbowe niyakweli kama ulivyowaeleza BBc nyakati fulani.
Usikubali kuingia kwenye mtego mbaya kwa ombi la kinafiki kutoka kwa zito.
Anaweza kuwa ni shahidi upande wa mashtakaHuyu mtu siyo mtanzania kabisa kwa roho mbaya kama nyoka
Hakika maana ana roho mbaya utadhani mhutuAnaweza kuwa ni shahidi upande wa mashtaka
Mpaka hapa ameishaiingilia zaidi ya mara 3 directly Kwa kesi hii Moja!Hatujui indirect kaingilia mara ngapi!!!Wee endelea kuombea rais awe anaingilia mahakama.