Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

Kwa sasa yuko busy anapitia madaftari yake ya matusi aje akamwage upupu wake humu dhidi ya wenye akili kumzidi...eti taifa letu lina cha kujifunza kutoka Rwanda! Sijui JF imeruhusuje hali kama hii iendelee humu. Subiri tu, bado kidogo muda si mrefu ataingia ushuhudie ninalosema....tik tak...tik tak...tik tak
Ngoja arudi mbona tutakoma
 
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Huyo jamaa yako ni muuaji tu na kibaraka wa wazungu katika wizi wa rasirimali za Congo hana jipyaa
 
Kuna ushauri na ushauri ila huu hapana, hata kwa upeo nilionao siwezi afiki.Yaani akawe DICTATOR
 
Mimi nilihuzunika sana hadi nilitoa machozi na ndio ilikua mwanzo na mwisho kuangalia taarifa ya habari ya Chanel zetu alipewa zawadi ya ng'ombe nikajua lile pazia tuu...yule Kagame atahukumiwa kwa aliyokua anashawishi mabaya yafanyike Tanzania...
Hii picha imechorwa kuwakilisha roho chafu ya umwagaji damu, ikimaanisha watz ni ng'ombe Ili kuwaswaga tumia risasi wataenda tu,Chini sio nyumba za nyasi bali ni risasi zimechorwa mfano wa nyumba za nyasi , risasi huwa na rangi ya shaba na ile miale ni ya moto wa risasi,twanga watu risasi wataenda tu utakapo waende.Hii ni art ya kidikteta.Ndipo tuliposhuhudiwa risasi zikitembea kama njugu mara Lisu, Akwiline, kibiti, viroba, utekaji,kupita bila kupingwa, nk.Hii picha popote ilipo ichomwe moto Ili kuondoa Hii roho ya mauaji iliyopandikizwa nchini mwetu. Hii tabia mbaya asili yake ni zilipotoka hizo baada ya PAKA kupata chake akamtosa hata kumzika na kamsusa mwanafunzi wake.
Unaibia watoto wako chao unaficha kwa jirani nae jirani anakupiga,ni maumivu mara mbili bora ungezitumia kuwapa elimu bora watoto wako wakukumbuke daima.

Screenshot_20210507_063016.jpg

Lakini Mungu ni mwema siku zote na usikia maombi ya wengi yafananayo.
 
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Utajiri wa Rwanda unachangiwa kwa kiasi kikubwa na kuiba madini kutoka Congo na kuchelewesha amani kupatikana Congo kwa kuvipatia pesa vikundi vinavyopigana huko kongo mashariki.. kwasababu ikitokea Congo imepata amani na kukawa na serikali imara watabanwa kufuata taratibu kuvuna madini husika..

Hawa madini ya Koltan ni muhimu sana kwenye kutengeneza vifaa vya umeme kama simu, computer n.k kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kustahimili joto pasipo kuteketea yanapatikana Kongo na uchimbaji wake hutumia mpaka watoto ambao ripoti inasema hulipwa dola moja kwa siku.

Gharama ya haya madini mwanzo ilikuwa mpaka dola 300 kwa kilo yakiwa bado hayajachakatwa mpaka kufikia dola 100 kwasasa.

Cha kushangaza ni kwamba muuzaji mkubwa wa haya madini ni Rwanda na sio Kongo.. ambapo report inadai 50% ya haya madini yaliyouzwa kwenye soko la dunia mwaka 2016 yalitokea Rwanda.

Mpaka hapo tunaona kwamba tuposema mtu ni Genius wakati ananyonya waafrika wenzie tunakuwa tunakosea.. hayo maendeleo unayo yaona na kuyasikia Rwanda ni kwaajili ya kuwaibia Ndugu zetu wa Kongo.. it's not fair.
Screenshot_20210513-114120.jpg
Screenshot_20210513-114351.jpg
Screenshot_20210513-114433.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210512-155734.jpg
    Screenshot_20210512-155734.jpg
    49.4 KB · Views: 1
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Genta huenda una sababu zako za msingi naziheshimu! Lakini nakupa angle hii hapa ikufikirishe ni upi uwekezaji mzuri zaidi!:
Rwanda: population 12 ml. Gdp Usd 10 bn.
Uganda: pop. 45 mln. Gdp. Usd 35 bn
Kenya: pop. 52 mln. Gdp. Usd 95.5 bn

Je kipaumbele chako ungeweka wapi, which destination makes more business sense?!

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Rwanda wamefikia wapi kiuchumi kama TZ wenyewe tunawazidi?
Eti huyu sio mtafiti anaropoka kabla ya kujiridhisha, hebu imagine Rwanda gdp Usd bn 10, Tz Usd bn 63, Uganda Usd bn 35 na Kenya Usd bn 95! Huyu labda anataka Rwanda tukajifunze ukamdamizaji, kuteka watu, na kusigina katiba vinginevyo sio mahali pakwenda

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Kuna uzi humu wa mafumbo wa biashara za costa kati ya marafiki wawili.
Simshauri mama Rais, aingie lile chaka, vichakani hakuna mavuno, ni miiba na wadudu na wanyama hatari, asiende!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Kwa hiyo mnataka akapewe maujuzi ya kulazimisha kuvunja Katiba? Afinzwe namna ya kubaki madarakani baada ya kipindi chake kuisha? Afinzwe namna ya kubana Uhuru wa habari. No, PK hafai kuwa rafiki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom