GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,638
- 108,999
I I salute you,ukweli mtupu na hata JPM mbinu nyingi za kukuza uchumi na misimamo ya ujenzi wa nchi aliitoa Rwanda.Ukienda kwa Museveni Uganda
Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.
Ukienda kwa Kenyatta Kenya
Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.
Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.
Ukienda kwa Kagame Rwanda
Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.
Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.
Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.
Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.
Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
acha ukabila kenge wewe, wahutu ndiyo kabila lenye wakazi wengi katika nchi ya burundi na rwanda ni wastani wa asilimia 80Ukienda kwa Museveni Uganda
Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.
Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.
Ukienda kwa Kenyatta Kenya
Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.
Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.
Ukienda kwa Kagame Rwanda
Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.
Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.
Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.
Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.
Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
kunakalika basi, uchumi wa rwanda ni show off tu hamna kituWanyarwanda kwa nyodo tu hamjambo.
Cha ajabu mmejazana huku badala ya kurudi kwenu mkajenge ka- nchi kenu.
Anampigia chapuo mwizi na tapeli.Despot
kwa nini aende Rwanda na asiende UK, Israel, US, RSA au Singapore?
I estimate your IQ under 60
Gdp ya Tanzania ni 1080 per capita, ya gdp ya Rwanda ni 850 per capita. Tunawazidi kwa mbali. Unataka Samia akajifunze kung'ang'ania madarakani. Hatujapitia genocide kama ya Rwanda mwache mama aende Kenya ajifunze hustling ya wakenya. Au anasema uongo ndugu zanguni?. Nawasalimia kwa jina la JMT. Mnatakiwa kujibu Kazi iendelee sio kugandia madarakani kama PK.Rwanda wamefikia wapi kiuchumi kama TZ wenyewe tunawazidi?
IQ yako Kama nizaidia ya hiyo figure uliyopropose kwa mtoa mada Basi hiyo ndio ipo overated mkuu. Nchi kama UK, Russia, USA hatufanani kijiografia, kitamaduni, rasilimali, siasa na mambo mengi sana yanayochangia moja kwa moja kukua kwa uchumi. Ukiona jirani yako ana prosperity na mazingira yenu yakiwa na ufanano basi huyo ndio wa kumshika shati...Despot
kwa nini aende Rwanda na asiende UK, Israel, US, RSA au Singapore?
I estimate your IQ under 60
Msaidie hajui Historia ya Watutsi na Wahutu walioko Rwanda na Burundi ndo maana anatoa Comment za kitoto kiasi hili.acha ukabila kenge wewe, wahutu ndiyo kabila lenye wakazi wengi katika nchi ya burundi na rwanda ni wastani wa asilimia 80