Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,535
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
 
Rwanda ni chuo cha ukandamizaji wa Uhuru wa maoni, uuaji wa WAKOSOAJI, ukandamizaji demokrasia na upikaji wa takwimu. Na huko ndiko Mwendazake alijifunza yote including kununua ndege kwa cash. Kisha Kagame akamdhulumu commission ya 10%.

Hatuna cha kujifunza Rwanda.
 
Yaani wewe kweli hamnazo umeandika gazeti reeeeefu lakini umeandika utumbo....hivi kati ya Kenya na rwanda wapi kuna population kubwa ya watu?jibu baki nalo

Haya nchi gani inaongoza kwa viwanda East Africa ? Jibu baki nalo

Nani mteja wetu mkubwa wa mazao ya wakulima wetu kuanzia mahindi machungwa mananasi kabichi nk

Jibu baki nalo.....

DUNIA ya sasa haihitaji uwe kama kagame bro....mfumo wa kagame ni mfumo wa kizamani enzi za kina okelo kwame nkuruma
 
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
I I salute you,ukweli mtupu na hata JPM mbinu nyingi za kukuza uchumi na misimamo ya ujenzi wa nchi aliitoa Rwanda.
Hao watu wako serious na nchi yao na si huku TZ porojo za kisiasa ili watu wapige hela tu,yani mnazitafuta hela kwa nguvu kwenye Kodi Kisha Wanakuja kuzibwia hovyo wanasiasa BUNGENI na maruzuku ya vyama wakijineemesha wachache.

Upumbavu huu wa siasa they so called Democracy hatutoboi miaka 10000
 
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
acha ukabila kenge wewe, wahutu ndiyo kabila lenye wakazi wengi katika nchi ya burundi na rwanda ni wastani wa asilimia 80
 
Huko asiende kabisa yeye ndie aje .

The war monger ain't genius ,he is a vampire with blood thirst .

He always seeks who to shoot where to steel minerals .

He transmits the spirit of dictating to new leaders(refer magu )

I hope akina kikwete washamtahadharisha kuhusu yule kimbaumbau kwenye pua ndefu.

She has nothing important to learn from him because we are too far economically, socially and democratically may be she will learn how to extend her terms after expiration period comes.

That kaukau is a someone she should never dare be associated dearly with.

He ain't a true comrade . He is a snitch ,a dangerous venomous snake to avoid .

This time hatumtaki

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Rwanda wamefikia wapi kiuchumi kama TZ wenyewe tunawazidi?
Gdp ya Tanzania ni 1080 per capita, ya gdp ya Rwanda ni 850 per capita. Tunawazidi kwa mbali. Unataka Samia akajifunze kung'ang'ania madarakani. Hatujapitia genocide kama ya Rwanda mwache mama aende Kenya ajifunze hustling ya wakenya. Au anasema uongo ndugu zanguni?. Nawasalimia kwa jina la JMT. Mnatakiwa kujibu Kazi iendelee sio kugandia madarakani kama PK.
 
Despot
kwa nini aende Rwanda na asiende UK, Israel, US, RSA au Singapore?
I estimate your IQ under 60
IQ yako Kama nizaidia ya hiyo figure uliyopropose kwa mtoa mada Basi hiyo ndio ipo overated mkuu. Nchi kama UK, Russia, USA hatufanani kijiografia, kitamaduni, rasilimali, siasa na mambo mengi sana yanayochangia moja kwa moja kukua kwa uchumi. Ukiona jirani yako ana prosperity na mazingira yenu yakiwa na ufanano basi huyo ndio wa kumshika shati...
 
acha ukabila kenge wewe, wahutu ndiyo kabila lenye wakazi wengi katika nchi ya burundi na rwanda ni wastani wa asilimia 80
Msaidie hajui Historia ya Watutsi na Wahutu walioko Rwanda na Burundi ndo maana anatoa Comment za kitoto kiasi hili.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom