Rais Samia ukifanya ziara nchini Rwanda kwa 'Genius' Kagame utafaidika na mengi kuliko ya Uganda na Kenya

PAKA ni janja janja sana yule mtu. Kampiga mwendazake T 7 na B kadhaa na uswahiba ukafa hata kuzikana no.
PAKA sina hamu naye huyu mtu, jamaa alikaa kimya baada ya kipigo udugu na ujirani ukakatika ghafla, HATUWEZI DAI PESA ZETU ENDAPO KAMA KUNA PHISICAL EVIDENCE?
 
Wizi hauna evidence, mwendazake alikuwa akitupiga na kumpasia PAKA huku kajifichia kwenye ukali na kufokafoka Ili kucreate distance ya kuhoji nae kapigwa zimepotea.Bora angetununulia hata matrekta au vyuo vya VETA KILA kata.
Unapiga nawe unapigwa.
 
Rwanda wanaweza kuwa na uongozi wenye ubunifu mkubwa lakini eneo lao ni dogo sana kulinganisha na Kenya. Ni kama mkoa wa Tanzania tena Tabora na Morogoro ni zaidi ya hiyo nchi. Hawawezi kuwa na uzoefu wa masuala ya uzalishaji kama Kenya.

Kenya ni taifa kubwa kulinganisha na Rwanda, uhuru walipata zamani na ni wabobezi wa masuala ya uzalishaji.

Kuwa karibu na Kenya kuna faida zinazodumu kwa muda mrefu, Uganda pia ni wa kupewa kipaumbele wakiwa na eneo kubwa na utajiri mwingi wa rasilimali.
 
Wakenya ni wawekezaji wazuri .....Rwanda hakuna la kujifunza....Burundi ndio kabisaaa hakuna kitu labda kidogo Uganda
 
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Akienda kwa PK atafundishwa u- freemason na utoaji wa kafara. Kagame hana kitu chochote cha kufaidisha nchi kama tanzania wakati yake imemshinda njaa tupu.
 
Rwanda asiende kabisa alienda jiwe huko ndio akaja na mifumo yake mibovu ya kutawala niliumia sana kusikia Jiwe kaenda Rwanda yaani niliumia kweli na nilichokihisi ndicho kilichotokea hii safari ya Kenya tumeibariki utaona matunda yake muda si mrefu ..
Ziara ya kwanza ya JPM alikuwa Rwanda. Siku hiyo hiyo nikaweka mikono Kichwani
 
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
Unataka akaambukizwe roho yakichawi kama alivyomwambukiza yule?
Roho ya kupenda damu za watanzania
 
Ziara ya kwanza ya JPM alikuwa Rwanda. Siku hiyo hiyo nikaweka mikono Kichwani
Mimi nilihuzunika sana hadi nilitoa machozi na ndio ilikua mwanzo na mwisho kuangalia taarifa ya habari ya Chanel zetu alipewa zawadi ya ng'ombe nikajua lile pazia tuu...yule Kagame atahukumiwa kwa aliyokua anashawishi mabaya yafanyike Tanzania...
 
Kule hana cha kujifunza zaidi ya kutekana tu.
 
Ukienda kwa Museveni Uganda

Faida kubwa huku ni Uimarishwaji tu wa Miradi kadhaa na kuendeleza Historia yetu ya Udugu kwakuwa Rais Museveni kalelewa vyema na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Ukiondoa haya hakuna mapya zaidi.

Ukienda kwa Kenyatta Kenya

Huku utapata sana 'Madili' ya kufanya Biashara na Kukuza Uwekezaji baina ya Mataifa haya Mawili ambayo ni ya Kihistoria zaidi.

Zaidi ya hapo hakuna ya ziada huko.

Ukienda kwa Kagame Rwanda

Huku utapata 'Faida Mjumuisho' kuanzia Mbinu za Kukuza Uchumi, Mikakati ya Kimaendeleo, Uwezo mkubwa wa Teknolojia kwa Maendeleo, Elimu yenye Tija, Ulinzi na Ujasusi wa Kisasa ili Kupambana vyema na Maadui na Kutuambukiza uwezo wao mkubwa wa Akili na jinsi ya Kuzitumia vyema pia hizo Akili kwa mambo ya Msingi ili tuachane na Uswahili Uswahili wetu.

Rais yeyote yule Barani Afrika na anayejitambua kwa 'IQ' Kubwa aliyonayo 'African Genius President' Paul Kagame hatoacha ama kufanya nae Kazi au hata tu kuwa nae karibu ili afaidike nae Kimaendeleo.

Nchi ambayo sikushauri sana uende kwakuwa huko hakuna Faida na 'Utaboreka' tu ni ya Burundi.

Wahutu wengi walioko huko nchini Burundi 'hawakubarikiwa' sana Kichwani (Kiakili) kama ilivyo kwa nchi ya Rwanda yenye 'Watutsi' ambao 'wamebarikiwa' mno Akili hadi zingine hawajui wazipeleke wapi au wamgawie nani.

Rais Samia fanya Ziara Rwanda haraka.
mzee biashara pia ni ukubwa wa soko, sio akili tu, kama wao kwa udogo wao na wana akili kubwa basi wajiwekeze zaidi kwenye technologi , yaani wawe creative , inovation'. kama vile The Netherlands in europe ni nchi ndogo lakini inawazidi hao kwa ukubwa kwa kuwa creative kwenye tekinologia , wajerumani wanatengeneza magari lakini vipuri vya magari yao vya kisasa vinatoka uholanzi kama chip industry ni Uholanzi, si kwamba wajerumani wanawauzia magari mengi waholanzi no,Wajerumani wanatengeneza magari mengi , mass industry lakini vipuri muhimu vinatoka uholanzi,
 
Back
Top Bottom