Rais Samia tuondole DC Mtanda Arusha

Rais Samia tuondole DC Mtanda Arusha

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,179
Reaction score
37,475
Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.

Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.

Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......

DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.

Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.

Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.

DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.

Ngongo kwasasa The Pillar
 
Daaa yan Hawa wateule bhana hiii yote inasababishwa na nchi kukosa dira ingetakiwa kila mteule akiingia offisini anakuta dira na mipaka yake ya kaz mtuu anakuja na jambo laki kichwani jinsi anavoamua ndohilo hilo utafikir anaongoza familia yake
 
Kama baa Ina Kibali Cha night club sioni shida.

May be Baraza la Mazingira lianze kutumia device za kidigitali za ku-monitor noise pollution ambazo zitakuwa zinawasiliana na device za makao makuu/mkoani, ili muhusika alimwe faini kirahisi.

Pia hata akifika DC au Polisi, anakuwa na base ya kulianzisha.

Device hiyo Kila mwenye baa alazimike kuinunua na inakuwa inakaguliwa mara kwa mara, na iwekwe eneo la wazi kwa Kila mtu kuiona.

Sina hakika kama Baraza linaelimisha kuhusu range ya sauti/pollution inayotakikana kwa eneo fulani
 
Daaa yan Hawa wateule bhana hiii yote inasababishwa na nchi kukosa dira ingetakiwa kila mteule akiingia offisini anakuta dira na mipaka yake ya kaz mtuu anakuja na jambo laki kichwani jinsi anavoamua ndohilo hilo utafikir anaongoza familia yake
Juzi nilikuwa natoka Dar muda wa saa 6 usiku nikapitia pale Hugo full shangwe music 🎶 mkubwa watu wanakula raha ungefikiri hakuna kesho.

Saa 8 naingia Arusha ukiwa umetamalaki kila sehemu nauliza kulikoni nasmbiwa DC Mtaka.

Hii nchi kuna sheria na taratibu za kila Mkoa au kila Wilaya kutegemea utashi wa kiongozi.
 
Jiji la Kitalii lililosheheni wageni wanashuhudia mabunduki kuzuia muziki? Wajibu wao ni kulinda shughuli za raia sio kuzuia. Kama mtu ana leseni halali na muziki wake hausumbui wananchi wanaoishi jirani na maeneo hayo kwanini kumsumbua?

Jiji Kama Arusha ni muhimu ku handle activities zake bila kuleta imagine mbaya kwa wageni. Pub nyingi ni indoor, sioni sababu ya usumbufu.

Ngongo seems wamekutibua sana

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Unatafuta hela kwa kutumia akili nyingi wakati wa kutumia mtu mzima anaanzisha tafrani.

Hii yote kasikia kuna mkeka basi anapigania uRC huku wengine tunaumia.
 
Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.

Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.

Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......

DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.

DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.

Ngongo kwasasa The Pillar
Naunga mkono hoja, kuwaleta washamba mikoa ya wajanja ni kuzorotesha maendeleo!.

P
 
Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.

Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.

Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......

DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.

Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.

Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.

DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.

Ngongo kwasasa The Pillar
DC mtanda naomba utembelee hizi bar zilizopo along Serengeti Road, Uzunguni. Ni tatizo kwa wakazi wa mitaa hii.

Haya ni maeneo ya makazi ya watu, watoto na wazee nyakati za usiku wanashindwa kulala kutokana kelele za usiku. Mziki na kelele za ajabu mno nyakati hizo. Bar zilizokubuhu mitaa hii ni Life fitness na Escape II.
Kwenye hili nasimama na DC Mtanda. Tumechoka na Kero hizi. Inatosha.

Bar zilizopo kwenye makazi ya watu ziwe na ustaarabu, hakuna grounds ya ku-entertain walevi.
 
DC mtanda naomba utembelee hizi bar zilizopo along Serengeti Road, Uzunguni. Ni tatizo kwa wakazi wa mitaa hii. Haya ni maeneo ya makazi ya watu, watoto na wazee nyakati za usiku wanashindwa kulala kutokana kelele za usiku. Mziki na kelele za ajabu mno nyakati hizo. Bar zilizokubuhu mitaa hii ni Life fitness na Escape II.

Wacha ushamba wewe,Ndio atembee na Polisi wenye silaha kwenye kumbi za starehe?Kwani akiwaita ofisini kwake na kuwapa maelekezo kuna tatizo gani?
 
Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.

Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.

Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......

DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.

Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.

Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.

DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.

Ngongo kwasasa The Pillar
Huyo DC anaujua utamu wa pombe?Aombewe.
 
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Kwani bila muziki pombe haipiti kooni
 
Miji ya kimkakati kama Arusha,Mwanza,Dar,Dodoma na Mbeya inatakiwa watu smart wenye exposure ya mambo ya Biashara Ili wasimamie vizuri shughuli za kiuchumi,sasa huu uteuzi wa makada wanaojua pambio za chama ni shida!
 
DC mtanda naomba utembelee hizi bar zilizopo along Serengeti Road, Uzunguni. Ni tatizo kwa wakazi wa mitaa hii. Haya ni maeneo ya makazi ya watu, watoto na wazee nyakati za usiku wanashindwa kulala kutokana kelele za usiku. Mziki na kelele za ajabu mno nyakati hizo. Bar zilizokubuhu mitaa hii ni Life fitness na Escape II.
Kwenye hili nasimama na DC Mtanda. Tumechoka na Kero hizi. Inatosha.
Bar zilizopo kwenye makazi ya watu ziwe na ustaarabu, hakuna grounds ya ku-entertain walevi.
Mimi niko mji mwingine kabisa ila kwa hili la kelele za miziki kwenye makazi ya watu ni too much, NEMC wanastahili lawama sana hivi sasa, vyombo vya miziki vimeingia kwa wingi sana hakuna tofauti na mifuko ya plastic, ukipita kila kona ni kelele, basi iwekwe sheria kila anayeweka muziki aweke sound proofing kwenye eneo lake
 
Katika vitu nachukia duniani ni kelele, na ukiishi nyumba moja na mimi uwe na subra maana nikisikia tu umefungulia mziki kwa sauti inayotrigger kitufe cha hasira basi moja kwa moja nakuja kukugongea kuwa uzime au usikilize kwa faida yako, na kwa ukweli sijawahi kupata upinzani maana sura ninayokuja nayo kukuaibisha ni sekunde.

Nasimama na DC mtanda.
 
Miji ya kimkakati kama Arusha,Mwanza,Dar,Dodoma na Mbeya inatakiwa watu smart wenye exposure ya mambo ya Biashara Ili wasimamie vizuri shughuli za kiuchumi,sasa huu uteuzi wa makada wanaojua pambio za chama ni shida!
Kelele kwenye makazi ya watu sidhani kama ni jambo la sawa hata kama huyo DC amezaliwa texas.
 
mmeanza majungu na fitina.
hivi nyinyi wabongo mnataka mtu wa aina gani awaongoze?!
mkiona mtu mchapakazi mnamuundia zengwe, majungu na fitina ili afukuzwe kazi.
na tabia hii ya kufitiniana imeota mizizi sana sehemum za kazi na haswa kwenye utumishi wa umma!!! majungu na kufitiniana ndio mtindo wa maisha!!!.

Viongozi wetu wanapaswa kuwa makini sana ktk kuchuja pumba na ukweli, mara nyingi majungu na fitina kuaminika na kupelekea kiongozi au mtendaji mzuri kuondolewa kisa majungu!!

ndugu zangu acheni majungu na fitina kwani tabia hii inapelekea kuwapoteza viongozi wachapa kazi na weledi kisa jungu !!!.

DC Mtanda ni miongini mwa maDC wanao chapa kazi kwa bidiii na weledi wa hali ya juu, ni kiongozi haswa, sio wa kukaa ofisini, ni mfuatiliaji mzuri huyu anafaa hata kuwa RC popote pale.
maeneo mengine tunatamani sana tuwe na DC aina ya Mtanda.
 
Back
Top Bottom