Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar.
Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda.
Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub .......
DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea na kikosi cha polisi Bar zote kuanzia saa 6 usiku akitaka music uzimwe watu wanywe kimya kimya utadhani wapo msibani.
Matendo ya DC Mtanda yanachangia kushusha mapato ya wafanyabiashara na Serekali.
Matendo ya DC Mtanda ya kuingiza polisi wenye bunduki katika sehemu starehe ni kuwaogopesha wateja na kuharibu biashara na kuzoretesha biashara pasipo sababu za maana.
DC Mtanda hastahili kuendelea na kazi za Mkuu wa Wilaya Arusha kama itakupendeza angepelekwa huko Turiani au Namtumbo kungemfaa zaidi.
Ngongo kwasasa The Pillar