PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Nipe Maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
335
Reaction score
190
“Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya serikali. Na hilo sio Simiyu peke yake ni nchi nzima. Mamiradi mingi, mingi yanaendelea kuna fedha za mikopo, za misaada lakini kubwa tunazokusanya ndani,” Rais Dk. Samia Suluhu Hassan.

 
Back
Top Bottom