data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,151
- 22,726
Kwahiyo unabisha au?Ww lofa kweli......mijinga ipo mingi kama hili
Kwahiyo unabisha au?Ww lofa kweli......mijinga ipo mingi kama hili
Kwa kifupi CCM wamefika ukingoni hawana maajabu yyteNdiyo maana wenye maono, waliochoshwa na business as usual, wanasema system kufumuliwa na kusukwa upya hakuna jipya! Haya mashambulizi na majizano yanaonyesha tu jinsi mfumo wetu wa utawala ulivyo mbovu! Yaani jambo nyeti kwa nchi kama kukopa fedha nyingi namna hii liamualiwe na watu wachache namna hiyo?
Hii njemba nayo haijielewiMakusanyo yanaongezwa kwa tozo za simu, ambazo pia zinalalamikiwa. Tatizo wabongo wanataka kwenda mbinguni lakini kifo wanakiogopa.
Mama anafaa sana kuwa kiongozi, hana ukatili, anayo fairness. Anajua kuongea na wasio watanzania, hana majivuno yasiyo na kichwa wala miguu na anayo convincing power ya kufikia muafaka baada ya mazungumzo mazito kwa faida ya Tanzania.
Kheri yako wewe unayejielewa.Hii njemba nayo haijielewi
Una hakika!! Ama unaongea kana kwamba kuna kitu kizito kipo nyuma yako?Bora samia alikuwa anakaa na wenzake wawili jumla watatu...
Mwendazake alikuwa akimka tu anaamua chattle iwe mkoa.. na kupanga mambo ya nchi akiwa mwenyewe.
Yule alikuwa anakaa na dotto James pekee..Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Zanzibar Wana serikali yao inayojitegemea. Na wanachukua mikopo yao mwenyeweMkuu inaonekana umri wako bado ni mdogo sana. Umeshindwa kuelewa kuwa upo muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Nina uhakikaUna hakika!! Ama unaongea kana kwamba kuna kitu kizito kipo nyuma yako?
Hata wziri mkuu hakupaswa awepo...?Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Umemaliza. Sasa iko hivi ili tuwe na fair discussion... Watanzania wote kwa umoja wetu...tuungane kudai katiba, na main theme ktk katiba hiyo iwe ni KUPUNGUZA MADARAKA YA RAIS... kinyume na hapo hata mimi nikiwa Rais ntawanyoosha.., my homeland will be young Dubai.Yule alikuwa anakaa na dotto James pekee..
Maandalizi ya 2025.Mama anaonekana kutokuwa na confidence. Ogopa sana watu wasiokuwa na confidence wakiwa na madaraka. Kuna tozo, makusnyanyo ya kodi yameongezeka, mikopo kwa wingi, serikali inatumia pesa hizo namna gani. Kulikuwa na mmoja alidai anataka kukodi crane kwa gharama karibu sawa na kujenga daraja la wami.
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji!
Kauli hiyo imenitia mashaka? Nimejiuliza iko wapi nafasi ya baraza la mawaziri kwenye kufanya maamuzi magumu kama hayo kwa maslahibya nchi?
Confidence?! Mtu mwenye confidence haoni taabu kukoselewa!! Mtu mwenye confidence hawezi kudukua mawasiliano ya watu kutaka asikie wanaongea nini kuhusu yeye!!! Mambo kama hayo yanafanywa na mtu asiyejiamini! Na kwa kawaida watu wasiojiamini huwa wanapenda waonekana wao sio watu wa kuchezewa chezewa!!Magufuli alikuwa na confidence sana, in fact tatizo lake lilikuwa ni overconfidence. Alikuwa akiamua jambo, anahakikisha linatekelezwa, siyo aanze mikutano ya hapa na pale kutafuta kuungwa mono. Alisema kazi ilikuwa siyo kutafuta kupendwa, kwani mkewe janeti alishmpenda tayari. Hapa mama anachohangaika nacho kwenye hizo hotuba zote ni kutafuta kuungwa mkono tu, na ameshawapata wafuasi wa namna hiyo.
Unachanganya kati ya "confidence" na "ego." Unaweza kukuta mtu akiwa na confidence sana lakini pia yuko egocentric, wakati kuna mtu hana confidence lakini ana ego, na kuna mtu mwenye confidence bila ego na mwisho kuna asiyekuwa na cofidence wala siyo egocentric. Usichanganye.Confidence?! Mtu mwenye confidence haoni taabu kukoselewa!! Mtu mwenye confidence hawezi kudukua mawasiliano ya watu kutaka asikie wanaongea nini kuhusu yeye!!! Mambo kama hayo yanafanywa na mtu asiyejiamini! Na kwa kawaida watu wasiojiamini huwa wanapenda waonekana wao sio watu wa kuchezewa chezewa!!
Tabularasalakini ulikuwa unaona maendeleo aliyokuwa anayafanya jpm ukiamka unakuta flyover ukiamka unakuta daraja la busisi ukiammka unakuta maendeleo kibao
Anaropoka mumeo fala mkubwa wahedHiyo ni hatua ya awali,lakini baada ya hapo inapita kwa kamati ya nikopo ya taifa,ndipo inaenda kwenye cabinet,na baada ya cabinet ilipita bungeni bro,fanya utafiti kabla hujaropoka
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaKwa kifupi CCM wamefika ukingoni hawana maajabu yyte
Na mumeoUtuambie kwanza mpaka anakopa 29t Marehemu JPM alikuwa anakaa na nani?
Marehemu alikuwa anakaa na nani...
Si bora hata Mama kasema yaliyojiri..
Wapumbavu nini!??
Ndugai huyu alieomba msamaha au yupi ? alitakiwa asimamie anacho amini mpaka mwisho sio awe kigeugeu.........usiwaamini wanasiasa.Nafasi ya Ndugai iko wapi hapa? hii akili ndogo inayotuongoza itatupeleka pabaya zaidi, na ndio sababu Ndugai alihoji juu ya hii mikopo.
Matokeo yake badala ya kujibu hoja ya Ndugai kwa kujua amekosea akaona dawa yake amkodishie kikundi cha mipasho toka mikoani wakamsute ikulu.