Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.

Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani yeye haienzi kaulimbiu ya hapa Kazi tu,Magu alikuwa hana weekend wala sikukuu yeye anateua na kuapisha hata jumapili😂😂
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.

Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?

Ngoja tuone.

Maendeleo hayana vyama!
Amesema yawezekana J4 tutaapishana tena,akimaanisha wale ambao amewapa maagizo wasipoyatekeleza anaweza kuwaondoa.
 
Mama Usimsahau Yule Boss pale Ofisi yako ya Zamani amesumbua sana watumishi, kuwatishia, kuwadhalilisha, Matusi ya hadharani , kujenga Makundi, Na mambo mengi Yasiyokua na Utu wala Heshima...naamini yule Kwasababu unamjua vizuri sio wa kuhadithiwa uanze NAE..Mungu Yupo.
 
Back
Top Bottom