Naomba nionyeshwe msingi wa kituo cha afya ambao umeanza.
Bagamoyo ni issue ya Bandari au ?Tozo za kujilipa posho na kutumia ndege ya abiria katika safari mbalimbali.Huyu ndo rais kituko
Utalii wa filam a.k.a Bongo movieBagamoyo ni issue ya Bandari au ?
itafika mahalaKuna watu walikuwa wanasema mama anaingizwa chaka,kumbe mama ndio anaidhinisha matukio yote katika nchi hii,nasikia mtima wangu unavuja damu.
Very Magufuli-like statement.
Na ndiye huyu huyu anaye mjaza upepo, dharau na kiburi yule Waziri wake wa fedha!Kuna watu walikuwa wanasema mama anaingizwa chaka,kumbe mama ndio anaidhinisha matukio yote katika nchi hii,nasikia mtima wangu unavuja damu.
Ukimsiliza vizuri Samia anasema: TOZO ni kwa sabu siasa za CCM zimekataa masharti ya Wafadhili/ MABEBERU.Very Magufuli-like statement.
Wewe upo kisiasa mimi siko huko. Mama kasema ukweli, nchi yetu itajengwa na sisi wenyewe, watoto wetu tumewazaa wenyewe na tutawasomesha sisi wenyewe. Hiyo ya kutegemea mfadhili nao ulikuwa upumbavu tu kama upumbavu mwingine, na pia ni laana kuishi kwa kudra za watu wengine.Ukimsiliza vizuri anasema: TOZO ni kwa sabu siasa za CCM zimekataa masharti ya Wfadhili/ MABEBERU.
CCM hawataki kuheshimu maamuzi ya wanachi kwenye chaguzi. CCM imepoteza uhalali Tanzania. Tunaongozwa na MAJAMBAZI Samia, Mpango, Majaliwa na Mwigulu.
CCM = Chama Cha MAGAIDI