Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 8,787
- 5,536
Nchi ina ujuaji mwingi, pia imeingiliwa na akili za wanaharakati ambao ni machawa wa wageni.Huo Uhuru wa kufanya anachotaka bila watu kuongea, akafanye kwa familia yake sio nchj
Nchi ina ujuaji mwingi, pia imeingiliwa na akili za wanaharakati ambao ni machawa wa wageni.Huo Uhuru wa kufanya anachotaka bila watu kuongea, akafanye kwa familia yake sio nchj
Ukiwa nje ya mfumo wa utawala kuongea inakuwa kazi nyepesi kuliko ukiwa ndani ya mfumo wa utawala.Hao wauaji, wangejua hilo wangeacha KUUA na kusweoa watu mahabusu kwasababu hata wao WATAKUFA.
Tumefika hapa tulipo, kwasababu WATAWALA wameshindwa kufuata KATIBA, KANUNI na SHERIA za NCHI.
Unapotawala nje ya UTARATIBU uliowekwa usitegemee watawaliwa wakaheshimu huo UTARATIBU.
Heshima kitu cha bure mkuu.Yeye analindwa masaa 24 na makandoo wa kila aina, helicopters na vyote, ina maana ana kimbelembele?
Chombo kipo alijojoRais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Wewe mimi unanijua???Ukiwa nje ya mfumo wa utawala kuongea inakuwa kazi nyepesi kuliko ukiwa ndani ya mfumo wa utawala.
Wape wananchi wanachotaka. Acha WIZI, MAUAJI, UTEKAJI na UPORAJI.Nchi ina ujuaji mwingi, pia imeingiliwa na akili za wanaharakati ambao ni machawa wa wageni.
Wewe ni wa kukariri tu na hata hujui maana ya demokrasia. Unaweza ukasema Tanzania ni nchi ya kidemokrasia wakati hata serikali yenyewe haijachaguliwa na hao wananchi.Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Tumeichagua sisi wananchi, tulipiga kura. Mlileta vurugu mkitegemea kuharibu kila kitu mmepoteza tu muda na nguvu zenu.Wewe ni wa kukariri tu na hata hujui maana ya demokrasia. Unaweza ukasema Tanzania ni nchi ya kidemokrasia wakati hata serikali yenyewe haijachaguliwa na hao wananchi.
PhD imeongea/imeandika hapa. Wale wenye elimu za hapa na pale (za kuunga unga) tusome kwa utulivu na tafakariKUONGOZA nchi sio kuongoza FAMILIA YAKO/ KUMTAWALA MKEO AU MUMEO....ukisema ugali wiki nzima ewala ukisema mwisho saa kumi na mbili ewala..
Kuongoza taifa ni kua na upepo kama wa MFALME Suleiman Sasa matatizo huanza pale ambapo AKILI NDOGO INAPO TAKA KUITAWALA AKILI KUBWA.
Wasalamu
Kwa Sasa Cheka kigamboni
Tumepiga kura, tuliamka asubuhi tukafanya huo mchakato.Wape wananchi wanachotaka. Acha WIZI, MAUAJI, UTEKAJI na UPORAJI.
Kukiri wanaharakati wana ushawishi kuliko nyie ,maana yake mmefeli.
Kwa katiba yetu, Urais unapatikana kwa ushawishi na kura.
Kama wanaharajati wana ushawishi kuliko nyie, hayo madaraka mliyonayo mnayapataje???
SAMUYA kila akiongea anatoa BOKO.Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Unataka kusema waliouwawa majumbani walivunja sheria ipi?Mbona mimi na wewe hatujauliwa?. Vijana jifunzeni kutii sheria bila shuruti.
Mimi nimesimamia uchaguzi.Tumepiga kura, tuliamka asubuhi tukafanya huo mchakato.
Mlifanya vurugu mkitegemea kuharibu kila kitu matokeo yake mmeambulia maumivu tu.
Utapokelewa vile unakuja
Ukitufokea tunakufokea nchi ni yetu sio yako acha kutuzingua mżeń….
Umesimamia eneo moja, hujasimamia vituo vyote vya kupigia kura.Mimi nimesimamia uchaguzi.
Hizi kasimulie BIBI mjukuu wako, kama akili za kizwazwa kama zako.
Waliponzwa na wale waliokwenda nje wakachafua hali ya hewa kwa kuchoma moto miundo mbinu na mali za watu.Unataka kusema waliouwawa majumbani walivunja sheria ipi?
😂😂😂😂😂😂😂Ameshakwambia yeye anabwatuka tu mambo yakimpanda kichwani na sio shida zake maana wasaidizi wake wapo
Kuna siku niliwaeleza kama kuna watu walimshauri kwenye lile tukio wajipange atakuja kuwataja siku si nyingi dalili zinaonekana kabisa
😂😂😂😂😂😂'Wape wape vidonge vyaoo wakimeza wakitema shauri zao'....hii ndio fani yake!
Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.