Rais Samia: Tanzania ina midomo mingi, kila unalofanya linatafsiriwa

Narudia tena, ww ni kilaza full, ni wapi nimefananisha Tanganyika na Zanzibar? Nimekuambia katazame bajet ya Zanzibar uone kama mapato yake ya utalii na mengineyo yanajitosheleza. Rudia kusoma nlichoandika badala ya kulazimisha kujibu kichawa.
Kutojitosheleza mapato kwa sasa haina maana kwamba utalii ukiwekewa mazingira mazuri hauwezi kuiinua Zanzibar.

Mnapojibiwa msichopenda kusikia haraka sana mnakimbilia kwenye uchawa, jukwaa huru la majadiliano kila mtu anao uhuru kuja na hoja anazoona zinafaa, jengeni hulka ya kukubaliana na kile msichopenda kukisikia.
 
Chawa acha kucheza na maneno, umesema Zanzibar inaendeshwa kwa mapato ya utalii isionewe wivu, nikakuambia katazame bajet yake, na utalii unaingiza kiasi gani. Naona unaanza kubadili maelezo yako ya awali, chawa unakwama wapi?
 
Itakuwa inajimudu kiuchumi ndani ya mwaka mmoja au miwili, Mwinyi yupo huru kikazi tofauti na Rais wa JMT anayekutana na wapiga miluzi wengi kina Tindo.
 
Yaani nimecheka kwa nguvu jinsi chawa unahama taratibu. Mwanzo ilikuwa inajitegemea kwa utalii, sasa itajitegemea baada ya mwaka au miwili😂😂 Tanganyika haitegemei kuendelea kwa hisani za rais muuaji, hilo ondoa kichwani mwako.
 
Wewe CHADEMA kindakindaki hakuna jema utaliona linafanywa na CCM halafu ukatoa kongole hata kinafiki tu.
 
Sina tabia ya unafiki, nisifie kinafiki ili iweje? Mimi sina muda wa kutazama mema bali najali uwajibikaji maana wasimamizi wanalipwa mshahara. Wema ninatazama kwa anayejitolea sio kwa anayelipwa.
 
Kwahiyo huko Dubai, wanaua tu watu kama NZIGE na kupora mali za umma , na watu wao HAWAPIGI midomo???

TZ siyo kisiwa cha MAITI.

Mmepora madaraka kwa BUNDUKI, uweni wote basi ili kusiwe na kelele.

Mapumbavu nyie

Hahaa
 
Back
Top Bottom