Kuna yule fala mwingine Mulugo alisema kuwa Tanzania ilipatikana baada ya Tanganyika kuungana na Zimbabwe!🤣🤣Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.
Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!
Sidhani kama hilo ni kweli.
Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.
Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?
Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Hii ni constructive criticism.
Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.
Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.
Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.
🤣🤣Basi waasisi wa mahusiano kati ya Tanzania na Marekani ni George Washington na Julius Nyerere…
Hahaha,na aliyemuandikia hiyo hotubaWatakuambia anahujumiwa!
Hivi jamani iyo mikataba 15 aliyosaini inahusu nini?maana Bibi Mchele Sina Imani naye kabisa kwenye mikataba!Nakubaliana nawe jambo moja kwenye maelezo yako...AACHE UVIVU!.
Wewe jamaa!🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi kweli mlitegemea nini zaidi kutoka kwa Samia? Mtu unavuna ulichopanda. Huyu siyo mtu wa kufanya research na sidhani hata kama huwa ana tabia ya kujisomea mambo muhimu. Huyu ni wale watu wanakesha kusoma Mange kaposti nini au Diamond kalala na nani! Samahani sana lakini ndiyo ukweli wenyewe. Na mbaya zaidi siku hizi wasaidizi wa rais huchukuliwa wenye vilaza wa ndiyo yes ndiyo.... wanaogopa kuchukuwa watu wenye akili.
Siyo Magufuli ni wakati wa JK na 2015 kila mtu alijiona anaweza kuwa Rais.Sasa KATIBU WA RAIS ni Waziri Salum kutwa anathinda INSTAGRAM kupost picha unategemea anamuandalia Hotuba gani Rais, Urais ulianza kufanywa mwepesi na Magufuli sasa wngine wote wanaona wanaweza kuwa Marais.
Hakukumbuka msemo wa kikwere wa "za kuambiwa changanya na zako", huenda amepotoshwa na aliyemuandalia hiyo speechHuenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Hii ni constructive criticism.
Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.
Usije ukaitwa kujieleza, shauri yako.Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.
Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!
Sidhani kama hilo ni kweli.
Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.
Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?
Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Hii ni constructive criticism.
Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.
Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.
Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.
Nadhani angesema kuwa Tanganyika na India tuliunganishwa na mwingereza akiwa mtawala wetu na alichukuwa wataalamu toka India kufanya kazi Tanganyika, hii ni sahihi zaidi.Nyerere ilikuwa ni kipindi cha Djawaral Nehru labda alikuwa ana maanisha Indira Ghandhi?
Kakosea, ni Indira Ghandhi.Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.
Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!
Sidhani kama hilo ni kweli.
Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.
Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?
Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Hii ni constructive criticism.
Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.
Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.
Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.
Ni kweli hajawahi kuwa Rais wa India lakini ndiye anatambulika kama Baba wa Taifa la IndiaMahatma Ghandi wala hajawahi kuwa kiongozi wa India
Anzia dakika ya 9:25 mpaka 9:40.
View: https://www.youtube.com/live/PEzgcxu_A50?si=AFWVhAKOGy8b_VG7
Akiwa kwenye ikulu ya Rashtrapati Bhavan huko New Delhi, India, baada ya kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake kwenye ziara yake nchini humo, Rais Samia alipewa wasaa wa kusema machache.
Katika machache hayo aliyoyasema, Rais Samia kasema kuwa eti mahusiano katika ya Tanzania na India yaliasisiwa na Mahatma Gandhi na Julius Nyerere!
Sidhani kama hilo ni kweli.
Gandhi alikufa mwaka 1948. Mwaka huo huo Nyerere alikuwa bado ni mwalimu huko Tabora.
Sasa Gandhi na Nyerere walianzishaje hayo mahusiano baina ya hizi nchi mbili?
Huenda labda alimaanisha kusema Jawaharlal Nehru na Julius Nyerere? Kama alimaanisha hivyo, sawa.
Hii ni constructive criticism.
Awe anafanya ‘homework’ yake vizuri maana hii si mara ya kwanza yeye kusema vitu visivyo sahihi kwenye medani za kimataifa.
Kuna wakati aliwahi kusema kuwa Kamala Harris ndo mwanamke wa kwanza Marekani kugombea moja ya nafasi za juu kabisa nchini humo, kana kwamba hajui chochote kuhusu Geraldine Ferraro.
Aache uvivu. Awe anajiandaa vizuri kwa kusoma kabla hajafungua mdomo wake na kuanza kusema mambo yasiyo sahihi.
Na waziri yule akiwa Afrika Kusini kwenye mkutano alisema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.Kakosea, ni Indira Ghandhi.
Mambo ya kawaida hayo, hata nwendazake alisema saddam ni rais wa Kuwait.
Hapa hoja alifariki 1948 mama hajazaliwa.Ni kweli hajawahi kuwa Rais wa India lakini ndiye anatambulika kama Baba wa Taifa la India
Public speaking siyo nyepesi.Na waziri yule akiwa Afrika Kusini kwenye mkutano alisema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe.
Kwahiyo Unamsema Vibaya Vibaya MzilankendeFanya kazi kahhaba wewe, kwan rais wenu sikashadedi
Kiongozi ushindwe kuongea mbele ya watu! Yaani Shehe au Mchungaji ashindwe kuhubiri sawasawa! Labda bwana yule aliyeteuliwa kwa lazima wakati elimu yake haikidhi, matokeo akashindwa kusoma kiapo.Public speaking siyo nyepesi.
Ni kawaida tu hiyo.
Kwani viongozi hawaendi chooni?Kiongozi ushindwe kuongea mbele ya watu! Yaani Shehe au Mchungaji ashindwe kuhubiri sawasawa! Labda bwana yule aliyeteuliwa kwa lazima wakati elimu yake haikidhi, matokeo akashindwa kusoma kiapo.
Ya kusoma makaratasi uliyoandikiwa ina ugumu gani? Hamza Aziz aliimudu pamoja na elimu yake ndogo ya darasa la pili.Public speaking siyo nyepesi.