Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Kasoro matamshi (pronunciation) ya baadhi ya maneno ya Kiingereza alikosea, mfano:
1. Invitation hutamkwa inviteshen, siyo invaiteshen
2. Demise hutamkwa dimaiz, siyo dimis
Ila lafudhi (accent) yake ni nzuri kama ilivyo kwa Kiswahili
Hizo ni minor mistakes tu, umeshapalia
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.
Enzi zetu tunasoma,wajuzi wa kiingereza walikwenda madarasa ya art. maana waliikimbia hesabu na wasaidizi wake
leo hii kwa sababu ya siasa mnaonekana mpo juu mawinguni.
Lakini ukweli umebaki mashuleni waalimu wa sayansi ni wachache wakati wa masomo ya lugha wengi wamehamishiwa shule za msingi kupunguza kero.
 
Jana wakati Rais Samia akishuka kwenye ndege nafikiri mambo hayakuwa sawa au watu wa itifaki hawakuwa wamejipanga... Inakuwaje Rais anashuka kwenye ngazi za ndege akiwa ameongozana na Walinzi pamoja na Maofisa wengine kibao? Rais alikuwa amezongwa sana bila sababu za msingi. Nafikiri maafisa wa Itifaki ya Rais inabidi kuliangalia upya.
Usahihi ilikuwa wakati anashuka alitakiwa atangulie peke yake huku nyuma kwa karibu akifuatia ADC na Walinzi pembezoni basi..
Maafisa wengine wa litakiwa wawe wameshuka tayari(Wale wa Ulinzi na Itifaki) na wengine baada ya Rais kukanyaga ardhi..
Hii ingetoa fursa kwa Rais kupata 'Photo opp' stahili..
Ni muhimu kumpa Rais heshima na upekee unaostahili..
 
Naam!
Tunampongeza sana rais wetu na ni jambo zuri sana kuona rais wetu anapata sifa ndani na nje ya nchi.
Niwe mkweli kwamba,watu wengi wanadhani kuongea kiingereza au lugha nyingine ya nchi za ulaya ni usomi ,na asiyejua kuongea lugha hizo si msomi
huu mtizamo sio sahihi,kwa watu ambao wapo karibu na wachina au wakorea hata wajerumani wapo wengi wataalam ila hawajui kiingereza kabisa,nimewasahau warusi na wajapan ambao mpaka wanagundua vitu vingi vya kutisha ila ukiwasemesha kiingereza wanakuangalia kama kituko. Natamani watanzania tuondokane na ushamba huu,tujifunze na upande wa pili wa ulimwengu.
 
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Mbona Wachina na Warusi na Wafaransa na wahispania hawana mpango na kiingerza kizuri? Hii nsio inayosababishwa wazazi wanapigwa hela nyingi kwenye vishule vya St. na academy. Una damu ya kikoloni wewe. Kinachojaliwa siku hizi ni matokeo "output"
 
Huo ndio uzalendo: kuthamini, kujivunia au kuona fahari na kukuza lugha yako, utamaduni wako na kujifunza historia yako
Bado tuna safari ndefu sana kama nchi. Kwamba kuongea kingereza ndio itakuwa mfano wa kiongozi bora...!. Ningefurahi sana kuongea kiswahili tu kokote.
 
Jana wakati Rais Samia akishuka kwenye ndege nafikiri mambo hayakuwa sawa au watu wa itifaki hawakuwa wamejipanga... Inakuwaje Rais anashuka kwenye ngazi za ndege akiwa ameongozana na Walinzi pamoja na Maofisa wengine kibao? Rais alikuwa amezongwa sana bila sababu za msingi. Nafikiri maafisa wa Itifaki ya Rais inabidi kuliangalia upya.
Usahihi ilikuwa wakati anashuka alitakiwa atangulie peke yake huku nyuma kwa karibu akifuatia ADC na Walinzi pembezoni basi..
Maafisa wengine wa litakiwa wawe wameshuka tayari(Wale wa Ulinzi na Itifaki) na wengine baada ya Rais kukanyaga ardhi..
Hii ingetoa fursa kwa Rais kupata 'Photo opp' stahili..
Ni muhimu kumpa Rais heshima na upekee unaostahili..

Ulichokiandika hapa kinahusiana vipi na Uzi uliopo Jukwaani ( Mezani ) Ndugu?

Huoni kuwa hili uliloliandika hapa ulipaswa Kulianzishia Uzi wake kabisa ili tuchangie vyema kabisa?
 
Kiingereza ni lugha kama kibena wala usimpe sifa yoyote.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Mbona Wachina na Warusi na Wafaransa na wahispania hawana mpango na kiingerza kizuri? Hii nsio inayosababishwa wazazi wanapigwa hela nyingi kwenye vishule vya St. na academy. Una damu ya kikoloni wewe. Kinachojaliwa siku hizi ni matokeo "output"

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Mbona Wachina na Warusi na Wafaransa na wahispania hawana mpango na kiingerza kizuri? Hii nsio inayosababishwa wazazi wanapigwa hela nyingi kwenye vishule vya St. na academy. Una damu ya kikoloni wewe. Kinachojaliwa siku hizi ni matokeo "output"
Jinga la Kisukuma hili, ebu nenda kwenye Balozi za nchi yoyote au zote ulizotaja waeleze kwa Kiswahili au Kisukuma kuwa unaomba Viza ya kwenda kwenye hizo nchi watakupa Fomu ya kujaza ambayo imeandikwa Kingereza lakini ukiwaambia hujui lugha hiyo watakuuliza kama unajua lugha
yao. Watakushauri ukatafute mtu akisaidiwa kujaza kama babu yangu alivyotembeza barua niliyomwandikia kusomewa maana hakujua kusoma na kuandika. Mwendazake amewafikisha mbali!
 
Jinga la Kisukuma hili, ebu nenda kwenye Balozi za nchi yoyote au zote ulizotaja waeleze kwa Kiswahili au Kisukuma kuwa unaomba Viza ya kwenda kwenye hizo watakuja Fomu ya kujaza ambayo imeandikwa Kingereza uki
Watanzania wanafahamu kiingereza lakini wanazungumza kiingera kibovu. kujua kiingereza na kuzungumza kiingereza ni vitu 2 tofauti. Mfano, wazaramo wanajuwa kuongea kiswahili lakini hawajui kiswahili. Kinachojaliwa hapo ni mawasiliano tu. Hata mzungu anaposalimia kwa kusema jambo, hakuna matata, nk inatosha sana na wala hatumcheki
 
Back
Top Bottom