Rais Samia Suluhu: Kuna jambo nilikuwa nasolve limenishinda nguvu nikaliacha

Hapa ndio unaonyesha hauna akili

JPM kakaa wizara tajiri miaka kama 15 hivi.....angepende hela angekuwa bakhresa huyo

uwe una kaa na kufikiria na kamwe usimdhalilishe mama yako kukuzaa ukiwa na akili timamu

Be you, kufuata mkumbo kwenye platform kama hizi hakukupi furaha ya moyo ukajisimamia kama binadamu halis na sio sanamu

1,5 trillion angezichota tu hazina akiwa Waziri wa wizara yenye pesa.?! Ile wizara aliiba cha mboga tu na kuleta meli mbovu, MV Bagamoyo.
Vumilia tu mjane ukweli MCHUNGU.
Mtupoli mwizi alikua mwizi sana
 
Sukuma gang mbona mnapotosha kauli ya mama makusudi.

Hilo Jambo ni la siku za nyuma akiwa makamu wa Rais. Na alishindwa kwa sababu ambazo wengi tunazijua au maamuzi yake yalihitaji mamlaka za juu yake.
 
Yule mwingine kwa nini hakuwa hivyo??
Rais wetu yuko imara na straight muwazi

Tuendelee Mungu ampe afya na amjalie hekima ipitayo hekima zote katika kutuongoza

Maana wabongo nasi vichwa ngumu na wajuaji mnooo
 
Mama wala usiumize kichwa we kilete hapa jamvini na kule twita chap kwa harak tunakupa mbinu hii ni serikali ya wananchi
Kabisa kiongozi nchi yetu hii, sisi hata kaburi tutafukua tutie bakora Mtupoli.
MWIZI ni mwizi tu, mwizi hastahili heshima
 
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.

Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Litakuwa ni la uenyekiti la ccm
 
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.

Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Yeye alikuwa na nia ya kulitatua ila aambiliki Jiwe ndio alimzuia.Mama alimaanisha hivyo.Kwa sasa hivi ana uwezo huo wa kulitatua!
 
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.

Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?

Atumie jina la JMT ataweza yote hatashindwa.
 
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.

Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Sasa kamuachia nani!!??
 
Back
Top Bottom