Binadamu hakuna siku na haitatokea siku ataridhika,na siyo siku nyingi watu wale wale iwe amma kwa id tofauti na walizozoeleka nazo au hizi hizi wanazozitumia watarudi hapa kusema huyu mama bora Magufuli.
Nachojua mimi wote ni wanasiasa so sitegemei kuona makubwa kwa hawa watu so called viongozi.