palamagamba kabudi

Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi is the Tanzania's current Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by Hon H.E. Dr John Pombe Magufuli the President of the United Republic of Tanzania. He previous served as the Minister inthe Ministry of Justice and Constitutional Affairs from 2015 to 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

    Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari. Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch Mbarikiwa Awachapa za uso wazee wa taifa hili: Mzee Othman Chande, Palamagamba Kabudi, Kitila Mkumbo, mch Hananja, Joseph Butiku, Mrisho Moto nk

    https://youtu.be/DmMvTZn92Cs?si=Pdj11TtTgLHCmAPc Tazama na sikiliza hii mpaka mwisho. Ameanza kwa kunukuu maadiko haya toka katika Biblia - Neno la Mungu ambayo ni Habari Njema kwa Watu Wote yaani👇👇 Mithali 16:31 SUV "....31 Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu, Kama kikionekana katika njia ya...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi amteua Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC)

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mtangazaji wa Azam TV Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC), baada ya kamati ya awali kumaliza muda wake. Nyembera ataiongoza Kamati hiyo ya muda ya TPBRC, yenye jumla...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi aitambulisha Bodi ya Ithibati Bungeni, Dodoma

    •Kuanza mwaka wa Fedha 2025/26 kwa mafunzo Na Mwandishi Wetu, JAB. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameitambulisha rasmi Bungeni Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) na kubainisha kwamba katika kutekeleza majukumu yake kwa Mwaka wa Fedha 2025/26...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Palamagamba Kabudi: Wasanii wamepatiwa mikopo zaidi ya TSh. 5 Bilioni na Rais Samia

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Msemaji wake Msigwa ilisema haitauingilia Mgogoro wa TFF, TPLB, Yanga na Simba. Je, Waziri Kabudi anakutana nao kama nani?

    Nilishawahi kusema hapa JF kuwa Serikali ya Tanzania haina Ubavu kwa Simba na Yanga nikabishiwa je, sasa mmeona?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Sanaa na Michezo Palamagamba Kabudi kukutana na viongozi wa Simba, Yanga, TFF na Bodi ya Ligi Alhamisi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga ili kutatua mgogoro unaoendelea kuhusu kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabudi ahoji Kura ya Ndiyo au Hapana ni 'reform'?

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania imepiga hatua kubwa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwani kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Serikali yake imeridhia mabadiliko katika ule utaratibu wa kupita bila...
  9. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua serikali haijawahi kuwa serious na maendeleo ya kweli, Kabudi na michezo wapi na wapi?

    Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika. Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waziri, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji, Desemba 18, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam. Gerson Msigwa: Kuna Vyombo vya Habari 1,023 vilivyosajiliwa Nchini Katibu Mkuu Wizara ya Habari...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui kwamba Prof. Palamagamba Kabudi aliwahi kuwa mwanahabari kipindi kile cha vita vya Kagera

    Prof Kabudi pamoja na Harrison Mwakyembe waliwahi kuwa waandishi wa habari wa magazeti ya uhuru na mzalendo(if I am not mistaken). Hii ilikuwa kabla, wakati na baada ya vita vya kagera. Kwa maneno mengine, walikuwa wanajeshi walioongoza mapambano dhidi ya nduli Idd Amin kwa silaha ya kalamu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi waelekea ziarani Ngorongoro

    Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye Mawaziri Vigogo ya Serikali ya Rais Samia ambao ni Profesa Kabudi, William Lukuvi na Kamishna wa mafunzo Jeshi la polisi Awadhi wakutana na Paul Makonda na kufanya kikao kizito na Kamati ya Usalama ya Mkoa Arusha. Waziri wa Katiba na Sheria Profesa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

    Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Wateule wa Hayati Magufuli wanarejeshwa na Wale aliwatumbua na kurejeshwa na Rais Samia wanatumbuliwa tena?

    Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa Magufuli? Mtanikumbuka 😂😂 Mlale Unono 😀 PIA SOMA - Kuelekea 2025 - CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi...
  15. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Palamagamba Kabudi yupo nje ya Baraza la Mawaziri?

    Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana. Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la mawaziri. Mtu msomi ambaye ni hazina kubwa tunamtoa badala yake unaweka watafuta kwa nguvu nyingi...
  16. ntamaholo

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi William Lukuvi na Palamagamba Kabudi?

    Wanabodi salama? Mwamba Lukuvi na Kabudi wako wapi? Bungeni wanaonekana kweli? Au wanaendelea kutoa ushauri ikulu post walizopewa na mama?
  17. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema Profesa Kabudi na William Lukuvi watafanya kazi Ikulu, imeishia wapi?

    Haya wazee wa maji ya bendera njooni hapa mtudanganye tena, shida uongo wenu mnadanganyana, mpaka wenyewe kwa wenyewe haya sasa mbona hatuwaoni white house au Zuhura Yunus Kawa Kabudi. Mama alikuwa hazitaki hizi njemba ndo maana alipoona tetesi za Lukuvi kuchukua form ya uspika ikabidi ateme...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tungependa kama ulivyokuwa mwepesi kutolea ufafanuzi suala la Ndugai, Kabudi na Lukuvi basi hata kuungua kwa Masoko kuwa pia mwepesi

    GENTAMYCINE nawaomba tu hao 'Team Mikakati Awamu ya 6' wajitahidi kwa sasa kubadili Mbinu za Kuungua 'Kimkakati' kwa 'Masoko Makubwa' nchini kwani kwa sasa hata Mtoto Mdogo ameshajua kuwa nia ni 'Kuwakomoa' Wamachinga waliokuwa Wakipendwa na Hayati na pia kuruhusu Ujenzi mpya wa Masoko ili Watu...
  19. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwa hili la Kabudi na Lukuvi, ungetumia staili ya Mkuchika

    Mheshimiwa Rais; Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano; Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai, Kabudi na Lukuvi kwa kweli inabidi nikupe ushauri wa haraka. Kwanza kabisa Hawa watu watatu hasa Kabudi...
  20. troiker

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

    Ukitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi ,na hili limedhihirika kwa michango ya watanzania wote kupitia mabadiliko ya baraza la mawaziri...
Back
Top Bottom