Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

ama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.

Got bless you Mama 🙏
Aliyesaini Ali Kibao, Polepole, Mdude, Mauaji ya Oct 29 NK ni Nani?
 
Sisi tunajua mauaji ya 29.10.2025 ni maagizo yake, na damu zile zitaendelea kumlilia hadi siku anaiaga dunia.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.

Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha kunyongwa kwa Mtu yeyote yule aliyehukumiwa adhabu ya kifo. Rais Wetu Anapenda na kuthamini sana haki ya kuishi kwa kila mtu. Rais wetu ndiyo Maana amekuwa akisisitiza utii wa sheria na watu kuishi kwa upendo na amani ili watu wasijiingize katika matendo na Vitendo vinavyoweza kuwatia hatiani.

Ni Katika Muktadha huo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa rai kwa watanzania wote kusameheana na kumaliza mambo kwa njia ya mazungumzo badala ya kujichukulia sheria mkononi.

Haya yote yanatokea kutokana na ucha Mungu alionao Rais wetu Mpendwa. Sheria inamruhusu kuidhinisha Mtu kunyongwa baada ya kupatikana na hatia mbele ya mahakama.

Lakini Rais Wetu Mpendwa Kutokana na Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyomjaa Ndani yake na kuliishi Neno la Mungu ambako kumekuwa sehemu ya Maisha yake imemfanya kwa muda wote aliokaa ikulu kushindwa kutekeleza jambo hilo .

Tuendelee kuyazingatia maneno ya Rais wetu Mpendwa ambayo amekuwa akituhusia watanzania kuishi kwa amani ,umoja na upendo na kuacha kujichukulia sheria mkononi pamoja na kuacha kujihusisha na Vitendo vya uhalifu na kihalifu ili kutoingia katika matendo ya jinai.

Tunapotofautiana tufanye mazungumzo,tufanye kazi halali zenye kutupatia kipato , tuepuke Vitendo vya kihalifu na uhalifu , tuache kujichukulia sheria mikononi na kuacha kutunza mambo moyoni. Tusitumie hasira katika kufanya maamuzi .

Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na kuendelea kumpatia ushirikiano wa kutosha pamoja na kuendelea kumuombea Afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Rais wetu Mpendwa ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tuliyopatiwa . Hatuna budi kujivunia zawadi hii na kuitunza kwa wivu mkubwa sana .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
IMG-20260604-WA0252.jpg
IMG-20260604-WA0251.jpg

-Hatujawahi kumuuliza kuhusu huo upuuzi, maswali yetu yako hivi:
1-Nani alisaini mass assassination ya raia 29th to 31st October 2025?
2-Nani alisaini maiti zipotezwe(ziteketezwe) mpaka ndugu kuzika yeboyebo na mashati?
3-Nani anakipa kinga kikosi cha magaidi(terrorists squad) ambacho kinatamba kupitia msemaji wake 'shehe' Mwaipopo.
4-Nani atakuwa accountable katika sakata la raia waliouawa Oct,29th 2025?
5-Kwanini anaogopa international investigators katika kujua idadi halisi ya raia waliouawa katika kilichopaswa kuwa uchaguzi 2025.
6-Kwanini yuko kimya katika sakata la kutekwa kwa aliyekuwa balozi akiiwakilisha nchi yetu kule Cuba ambaye pia amewahi kuwa katibu mwenezi wa chama anachokiongoza.
 
Wewe ni mhamiaji haramu na ukikamatwa utafundishwa adabu .,tena unapaswa kupigwa Risasi ya Moto
Mmezoe kuua umbwa nyie ndio mnachoweza. Hapa umesema uhalisia wenu maana hamwezi kujibu hoja kwa hoja au kufwata sheria ila kuua mnaweza. Hata kama ni mhamiaji haramu kweli si akamatwe apelelekwa mahakamani.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.

Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha kunyongwa kwa Mtu yeyote yule aliyehukumiwa adhabu ya kifo. Rais Wetu Anapenda na kuthamini sana haki ya kuishi kwa kila mtu. Rais wetu ndiyo Maana amekuwa akisisitiza utii wa sheria na watu kuishi kwa upendo na amani ili watu wasijiingize katika matendo na Vitendo vinavyoweza kuwatia hatiani.

Ni Katika Muktadha huo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa rai kwa watanzania wote kusameheana na kumaliza mambo kwa njia ya mazungumzo badala ya kujichukulia sheria mkononi.

Haya yote yanatokea kutokana na ucha Mungu alionao Rais wetu Mpendwa. Sheria inamruhusu kuidhinisha Mtu kunyongwa baada ya kupatikana na hatia mbele ya mahakama.

Lakini Rais Wetu Mpendwa Kutokana na Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyomjaa Ndani yake na kuliishi Neno la Mungu ambako kumekuwa sehemu ya Maisha yake imemfanya kwa muda wote aliokaa ikulu kushindwa kutekeleza jambo hilo .

Tuendelee kuyazingatia maneno ya Rais wetu Mpendwa ambayo amekuwa akituhusia watanzania kuishi kwa amani ,umoja na upendo na kuacha kujichukulia sheria mkononi pamoja na kuacha kujihusisha na Vitendo vya uhalifu na kihalifu ili kutoingia katika matendo ya jinai.

Tunapotofautiana tufanye mazungumzo,tufanye kazi halali zenye kutupatia kipato , tuepuke Vitendo vya kihalifu na uhalifu , tuache kujichukulia sheria mikononi na kuacha kutunza mambo moyoni. Tusitumie hasira katika kufanya maamuzi .

Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na kuendelea kumpatia ushirikiano wa kutosha pamoja na kuendelea kumuombea Afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Rais wetu Mpendwa ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tuliyopatiwa . Hatuna budi kujivunia zawadi hii na kuitunza kwa wivu mkubwa sana .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Undugu na wewe unayesapoti wauaji umeanza lini?
 
Uwe na adabu wewe na uache mara moja kumchafua Mheshimiwa Rais
kajichafua mwenyewe mbona, ndio shida ya uelwa mdogo unaosababishwa na elimu mbali mbali. wajanja wanakutega bila hata kutoka jasho, na wala haelewi
 
Back
Top Bottom