Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,253
- 26,017
- Thread starter
- #61
Jibu swali uliloulizwaHuwezi mjua Pole pole maana wewe ccm umeletwa kuimba mapambio

🤣🤣🤣🤣🤣ama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.
Got bless you Mama 🙏
Huna swaliJibu swali uliloulizwa
Kunawenzio ccm walikuwa wanatetea ujinga kama mpaka yalipowakuta.Mbona wewe hujauwawa? Acha ujinga wako hapa wewe
Kama hujaelewa hoja ni bora ukae kimya tuKwa hiyo anakiri kuwa kashindwa majukumu yake?
Jibu swali langu ndugu yangu mtanzaniaKunawenzio ccm walikuwa wanatetea ujinga kama mpaka yalipowakuta.
Rudi shule halafu acja na uchawa ndipo utanielewaJibu swali langu ndugu yangu mtanzania
Wa tarehe 29 nani alisaini? Kama si yeye mbona hajawachukulia hatua!Ndugu zangu Watanzania,
Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha kunyongwa kwa Mtu yeyote yule aliyehukumiwa adhabu ya kifo. Rais Wetu Anapenda na kuthamini sana haki ya kuishi kwa kila mtu. Rais wetu ndiyo Maana amekuwa akisisitiza utii wa sheria na watu kuishi kwa upendo na amani ili watu wasijiingize katika matendo na Vitendo vinavyoweza kuwatia hatiani.
Ni Katika Muktadha huo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa rai kwa watanzania wote kusameheana na kumaliza mambo kwa njia ya mazungumzo badala ya kujichukulia sheria mkononi.
Haya yote yanatokea kutokana na ucha Mungu alionao Rais wetu Mpendwa. Sheria inamruhusu kuidhinisha Mtu kunyongwa baada ya kupatikana na hatia mbele ya mahakama.
Lakini Rais Wetu Mpendwa Kutokana na Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyomjaa Ndani yake na kuliishi Neno la Mungu ambako kumekuwa sehemu ya Maisha yake imemfanya kwa muda wote aliokaa ikulu kushindwa kutekeleza jambo hilo .
Tuendelee kuyazingatia maneno ya Rais wetu Mpendwa ambayo amekuwa akituhusia watanzania kuishi kwa amani ,umoja na upendo na kuacha kujichukulia sheria mkononi pamoja na kuacha kujihusisha na Vitendo vya uhalifu na kihalifu ili kutoingia katika matendo ya jinai.
Tunapotofautiana tufanye mazungumzo,tufanye kazi halali zenye kutupatia kipato , tuepuke Vitendo vya kihalifu na uhalifu , tuache kujichukulia sheria mikononi na kuacha kutunza mambo moyoni. Tusitumie hasira katika kufanya maamuzi .
Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na kuendelea kumpatia ushirikiano wa kutosha pamoja na kuendelea kumuombea Afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Rais wetu Mpendwa ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tuliyopatiwa . Hatuna budi kujivunia zawadi hii na kuitunza kwa wivu mkubwa sana .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilifanya kazi ya kudhibiti machafuko kwa kutekeleza wajibu wake ili Nchi isije kuwashwa moto kama ilivyotaka kufanywa na vijana ambao inaonyesha walilipwa pesa na maadui zetu na wasaliti wa Taifa letuWa tarehe 29 nani alisaini? Kama si yeye mbona hajawachukulia hatua!
Mimi na wewe ni nani Mjinga?Wewe kijana mjinga sana, hujamsikia mwenyewe anasema amechoka kutajwa tajwa?
Kila siku unafungua nyuzi za vilemba vya ukoka hapa mpaka namba moja anaona aibu.
Haya mambo yanaashiria mtu anayejitetea kabla hata ya kushtakiwa, asubiri wakati ufike.Ndugu zangu Watanzania,
Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha kunyongwa kwa Mtu yeyote yule aliyehukumiwa adhabu ya kifo. Rais Wetu Anapenda na kuthamini sana haki ya kuishi kwa kila mtu. Rais wetu ndiyo Maana amekuwa akisisitiza utii wa sheria na watu kuishi kwa upendo na amani ili watu wasijiingize katika matendo na Vitendo vinavyoweza kuwatia hatiani.
Ni Katika Muktadha huo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa rai kwa watanzania wote kusameheana na kumaliza mambo kwa njia ya mazungumzo badala ya kujichukulia sheria mkononi.
Haya yote yanatokea kutokana na ucha Mungu alionao Rais wetu Mpendwa. Sheria inamruhusu kuidhinisha Mtu kunyongwa baada ya kupatikana na hatia mbele ya mahakama.
Lakini Rais Wetu Mpendwa Kutokana na Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyomjaa Ndani yake na kuliishi Neno la Mungu ambako kumekuwa sehemu ya Maisha yake imemfanya kwa muda wote aliokaa ikulu kushindwa kutekeleza jambo hilo .
Tuendelee kuyazingatia maneno ya Rais wetu Mpendwa ambayo amekuwa akituhusia watanzania kuishi kwa amani ,umoja na upendo na kuacha kujichukulia sheria mkononi pamoja na kuacha kujihusisha na Vitendo vya uhalifu na kihalifu ili kutoingia katika matendo ya jinai.
Tunapotofautiana tufanye mazungumzo,tufanye kazi halali zenye kutupatia kipato , tuepuke Vitendo vya kihalifu na uhalifu , tuache kujichukulia sheria mikononi na kuacha kutunza mambo moyoni. Tusitumie hasira katika kufanya maamuzi .
Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na kuendelea kumpatia ushirikiano wa kutosha pamoja na kuendelea kumuombea Afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Rais wetu Mpendwa ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tuliyopatiwa . Hatuna budi kujivunia zawadi hii na kuitunza kwa wivu mkubwa sana .
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utasubiri sana na Chuki zako BinafsiHaya mambo yanaashiria mtu anayejitetea kabla hata ya kushtakiwa, asubiri wakati ufike.
oya wazee tupeane basi michongo...wenzetu mnalipwa bei gani ili wote tufaidi mema ya nchi..maana mnasifia kumzidi Mwijakuama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.
Got bless you Mama 🙏
Kiwango chako cha kufikiri na kuingia kwenye mijadala ni kidogo sana.Utasubiri sana na Chuki zako Binafsi
Mimi ni akili kubwaKiwango chako cha kufikiri na kuingia kwenye mijadala ni kidogo sana.
Shit!Mimi ni akili kubwa