Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

SOka yuko wapi? Mdude yuko wapi? Vipi ile nguvu iliostahili ya oct 29?
Mkuu GT unaweza kujuwa ni nini hasa kilichopeleka Deusdedit Soka kuuwawa? Yani bado huwa najiuliza hili. Soyo Soka tu mdude kumchukua kwake bila hata kujificha. Yule dogo aliyechana picha ya Samia.

Kuna mijitu blood thirsty
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.

Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha kunyongwa kwa Mtu yeyote yule aliyehukumiwa adhabu ya kifo. Rais Wetu Anapenda na kuthamini sana haki ya kuishi kwa kila mtu. Rais wetu ndiyo Maana amekuwa akisisitiza utii wa sheria na watu kuishi kwa upendo na amani ili watu wasijiingize katika matendo na Vitendo vinavyoweza kuwatia hatiani.

Ni Katika Muktadha huo Rais wetu Mpendwa amekuwa akitoa rai kwa watanzania wote kusameheana na kumaliza mambo kwa njia ya mazungumzo badala ya kujichukulia sheria mkononi.

Haya yote yanatokea kutokana na ucha Mungu alionao Rais wetu Mpendwa. Sheria inamruhusu kuidhinisha Mtu kunyongwa baada ya kupatikana na hatia mbele ya mahakama.

Lakini Rais Wetu Mpendwa Kutokana na Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyomjaa Ndani yake na kuliishi Neno la Mungu ambako kumekuwa sehemu ya Maisha yake imemfanya kwa muda wote aliokaa ikulu kushindwa kutekeleza jambo hilo .

Tuendelee kuyazingatia maneno ya Rais wetu Mpendwa ambayo amekuwa akituhusia watanzania kuishi kwa amani ,umoja na upendo na kuacha kujichukulia sheria mkononi pamoja na kuacha kujihusisha na Vitendo vya uhalifu na kihalifu ili kutoingia katika matendo ya jinai.

Tunapotofautiana tufanye mazungumzo,tufanye kazi halali zenye kutupatia kipato , tuepuke Vitendo vya kihalifu na uhalifu , tuache kujichukulia sheria mikononi na kuacha kutunza mambo moyoni. Tusitumie hasira katika kufanya maamuzi .

Tuendelee kumuunga Mkono Rais wetu Mpendwa na kuendelea kumpatia ushirikiano wa kutosha pamoja na kuendelea kumuombea Afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.

Rais wetu Mpendwa ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tuliyopatiwa . Hatuna budi kujivunia zawadi hii na kuitunza kwa wivu mkubwa sana .

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yeye ni gwiji la mauaji yasiyo ya kisheria (extrajudicial killings). Fazafaka hajihusishi na utekelezaji wa death penalties zinazokuwa imposed kisheria!
 
Hizi sifa ndio amezikataa,

After mwinyi kuna Rais alinyonga?
 
Hebu tuambie
1. Mdude
2. Shadrack
3. Soka
4. Ali Kibao
5. Dioniz Kipanya
5. Pole pole

Wako wapi hao watu?
 
ama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.

Got bless you Mama 🙏
Mliyemtanguliza hajitambui... Jitokezeni
 
Mkuu GT unaweza kujuwa ni nini hasa kilichopeleka Deusdedit Soka kuuwawa? Yani bado huwa najiuliza hili. Soyo Soka tu mdude kumchukua kwake bila hata kujificha. Yule dogo aliyechana picha ya Samia.

Kuna mijitu blood thirsty
Kuna namna gangs za organ harvesting zilikuja kasi zikitumia mwamvuli wa wasiojulikana!
 
Wasiojulikana wanateka na kuua watu kila siku, Samia yupo kimya tu.

Wewe mwashambwa unajua hili ila nawe upo kimya, hauna akili.
 
ama kwa hakika,
Dr. Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa nchi, lakini pia ni mama na mzazi mwenye mapenzi ya dhati na uaminifu mkubwa kwa waTanzania wote.

Got bless you Mama 🙏
Huyu huwa anatumwa na nani? Kwa wasio mjua ni Sumai anayetajwa sana mitandaoni kuongoza mauji ya Watanganyika 29/10
 
Attachments

  • FB_IMG_1777279246411.jpg
    FB_IMG_1777279246411.jpg
    144.8 KB · Views: 11
Back
Top Bottom