Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,237
- 9,871
Anasoma hadi mtoto wa chekechea anagundua....macho yanatembea kutoka kushoto kwenda kulia...Aliyekuwa akiongea UN ni Nyerere tu, wengine ni kusoma neno kwa neno mwanzo hadi mwisho.
Anasoma hadi mtoto wa chekechea anagundua....macho yanatembea kutoka kushoto kwenda kulia...Aliyekuwa akiongea UN ni Nyerere tu, wengine ni kusoma neno kwa neno mwanzo hadi mwisho.
Duuh aisee hata kama lakin haifai kuwaita dada zetu mama zetu machangudoa na makahaba...je mkeo akiitwa hivyo utafurah?Mkeka mwingine amesema anataka kubalance gender kwenye nafasi za uongozi.
Tusubiri kuongozwa na machangudoa na makahaba.
Subiri mkeka ndio utajua ukweli wa haya maneno.Duuh aisee hata kama lakin haifai kuwaita dada zetu mama zetu machangudoa na makahaba...je mkeo akiitwa hivyo utafurah?
KabisaDaah huyu mama aisee kazidiwa ina maana alikuwa hajajipanga anaenda kuongea nini?
Hahahahaha kwii kwii kwiiUmefanya nimecheka, siyo kwa ukalimani ule maana ingekuwa balaa angeweza kutafsiri kwamba Magufuli hajafa.
Mama anatakiwa kuonywa yasije ya JPM yakajitokeza. Yeye ni Rais na jambo kama hilo ni masuala ya ndani si ya kuueleza Umma! Ni aibu sana kwa wasaidizi wakeKurugenzi ya mawasiliano ifumuliwe yote, kweli Rais anaenda kwenye bunge la dunia bila kumuandaa kwa all possible presentation encounters?
Halafu tunasema eti tunaitangaza Tanzania kuvutia watalii kwa haya makosa madogo hivi na ya wazi kabisa.
Mmmh sijuhi!Rais Samia Suluhu Hassan amesema kiswahili kimekua kiasi cha kuweza kutumika kimataifa hali ambayo ilimfanya atake kuongea kiswahili alipokuwa akihutubia mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa(UNGA)
Hata hivyo amesema katika msafara hawakuwa na mkalimani na hawakujiandaa kwa hilo, hivyo alilazimika kutumia kiingereza.
Amesema Kiswahili imekuwa ni lugha ya biashara kwa kanda ya Afrika Mashariki na SADC. Hata ukienda Ulaya ukimsema mtu kwa Kiswahili ujiangalie maana wanaweza kukujibu kwa kiswahili.
Issue iko hapo, kwenye hizo mashine za kutafsiri, hakuna Kiswahili? Au wanatuona wote zumbukuku?Tuseme alikurupuka, hiyo ziara haikuandaliwa, hivyo vya kuvaa masikioni nilisikia vinasetiwa lugha unayotaka kuisikia wewe,
We wasema ajapotea wakati yeye anaona kapotea hadi haelewi afanye nn?Mama Samia bado hujapoteza. Lile yai ulilovunja ni tosha.. Kiingereza Ni lugha ya Dunia. Na kule ulienda duniani.
Basi angehutubia kwa kiswahili mapokezi yangekuwa mpaka vijijini ndani kabisaRais Samia Suluhu Hassan amesema kiswahili kimekua kiasi cha kuweza kutumika kimataifa hali ambayo ilimfanya atake kuongea kiswahili alipokuwa akihutubia mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa(UNGA)