johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,023
- 142,069
Sabaya yuko gereza la Arusha!Lakini hakuna mwana CCM aliyepo Segerea
Yamevurugika kwa kweli!Maji yamekorogeka
Ndugai ajiuzuru mara mojaHii kauli imenifikirisha sana Waswahili wana msemo wao " kikulacho ki nguoni mwako"
Wanaweza kukuaminisha Mbowe ndiye tatizo kumbe wana lao jambo binadamu siyo watu kwa kweli.
Leo nimemuelewa sana mh Rais Samia!
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia.
Hii kauli imenifikirisha sana Waswahili wana msemo wao " kikulacho ki nguoni mwako"
Wanaweza kukuaminisha Mbowe ndiye tatizo kumbe wana lao jambo binadamu siyo watu kwa kweli.
Leo nimemuelewa sana mh Rais Samia!
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia.
Washakunaku watapinga hili.Hakika tutegemee kupata Tume huru na Katiba Mpya maana ndio hoja za Wapinzani
Mgogoro wa kiutawala unaoona leo ni matokeo ya Katiba Mbovu tuliyonayoHakika tutegemee kupata Tume huru na Katiba Mpya maana ndio hoja za Wapinzani
Kazi likwelikweHakika tutegemee kupata Tume huru na Katiba Mpya maana ndio hoja za Wapinzani