mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 431
Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta umoja wa kitaifa kati ya wapinzani na wale watu wa Chama tawala na pia ameweza kuleta amani kwa sasa watu wanapiga kazi na pesa inaonekana mtaani kusema ukweli.
Sisi wakristo leo kwenye kanisa letu huku Useri Rombo tumeweza kumuombea ili azidi kupiga hatua na kuweza kuleta maendeleo ili nchi yetu iweze kupiga hatua za kimaendeleo kwenye hii nchi yetu nani kama Rais Samia? Rais bora kuwahi kutokea katika taifa hili la Tanzania mpaka dunia mzima inazidi kuimba jina lake na kumpomgeza kwa mambo ambayo amefanya Rais huyu mzalendo,mpambanaji,mbeba maono na game changer.
Wenzangu wakristo tuendelee kumpa moyo huyu Rais wetu Samia asiyekuwa mdini wala asiyekuwa mbaguzi
# karibuni Rombo tupige mambo merry Christmas 🎄 🎄 na Rais Samia tuendelee kumuombea katika siku hii ya Christmas#
Mkunga wa jadi,
Kwasasa
Useri,Rombo Kilimanjaro.