Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

Kuna dada mmoja wa chuo Cha IMTu nlikutana nae dodoma na ana undugu na kikwete popote ulipo naomba unitafute ...tulikutana dodoma 2015..nna Jambo la kukueleza..
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Kaona pesa zipo hazina na hajui Kama magufur alikomaa kuzitafuta .
 
Ccm ilikuwa imeshikwa na polisi, Tissi na jeshi. Hakuna kingine.
 
Sisi kama Wapinzani tunamuogopa Mama zaidi kuliko hata yule chizi,Mama anakura za akinamama wengi Mama utawala wake Softi Softi utapendwa na wengi

Tena akiyarudisha magwiji ya Siasa ya Awamu ya Nne kwenye nafasi za uongozi wa CCM itakuwa ni Sera kwa Sera

Mama ananitisha sana kuliko Mwenda.
Nikusahihishe tu, awamu ya nne hakukuwa na magwiji wa siasa bali ufisadi sugu
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
CCM iuliwe na chama gani?. Hakuna chama cha upinzani tena, wote wanajiunga na CCM kumsapoti Rais mama Samia.
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Weka matako vizuri sindano ikuingie, na usisahau kurudi umalizie dozi
 
Hivi ndivyo nchi inavyotakiwa kuongozwa

Asante sana mama Samia

.Tunatarajia uhuri kwa kiwango cha juu
 
Kwa upinzani wa Tanzania CCM haiwezi kufa kwa katiba iliyoundwa Bi mkubwa akiwa mstari wa mbele.2015 ingekufa yalivyo majinga yakazubaaaa kama kawaida yao yatazubaaaa tenaaaa tu.
 
CCM bila JPM ni samaki akiwa nje ya maji!!
Ni swala la muda tu!!🤸🤸
 
Wacha akiue tu, maana kile siyo chama bali ni genge fulani la walafi wa madaraka na tamaa za utajiri kwa ajili yao tu siyo kwa nchi,, mm mwenyewe ni mwanaccm ila hapa tulipofika baaasi
 
Nami naamini hivyo baada ya kumsoma hotuba zake tatu, ya cag ya kuapisha mawaziri na ya leo.
Ndio hapa upinzani watapata chansi yao.
Kwanza mama anaenda tengeneza makundi ndani ya makubwa ndani ya chama ambayo tayari ni silaha kwa upinzani, Kupona itakua ngumu sana, pili anaenda rudisha nchi enzi za UNANIJUA MIE NANI?
Yna akili ndogo kama Jiwe
 
Hivi wanyonge ni watu gani?
1.Watu ambao wanasubiria kunyongwa
2. Ni agizo/ruhusa/idhini ikiruhusu watu au kikundi fulani cha watu kinyongwe.

Karume day njema.
 
Back
Top Bottom