Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

Mama anatafutwa kupendwa na kila MTU, which is impossible kwa wanadamu tulivyo wanafiki hasa wabongo tuliozea upigaji badala ya kupata kipato kwa uhalisia wako.
Hapa raia wanamlia timing tu atakapokuja kushituka, itakuwa too late,ngoja tuone, tutarudi zama za ruksa na jk.
Mama amejipambanua kuwa ni rais wa Watanzania na si wa wanyonge peke yao. Watanzania tulio wengi tunafurahia na tunamuunga mkono.
 
Hivi nyie Mataga mnafikiria kwa kutumia nini hivi? Kwann Marehemu aliwaharibu sana akili nyie?

1. Wewe watu wakilipa kodi kwa haki ndio wanakuwa sio wanyonge?

2. Kuvifungia vyombo vya habari kwa sababu vimeruhusu mawazo mbadala ndio unyonge unaotakiwa?

Nyie kwenu unyonge hivi mnauchukuliaje hivi?

Kwann mnqchanganyikiwa kabisa na uongozi wa mama wa watu? Hebu acheni ujinga basi

Mungu amelinusuru taifa hili toka mikononi mwa wajukuu wa Iddi Amini waliokuja kulipa kisasi Tanzania.

Mungu hawezi kuruhusu watu aliowaumba wauawe na kuteswa kwa sababu ya kulita takataka inayoitwa chama .

Mh. Rais ni muumini wa Kweli na mtenda haki anayemuogopa Mwenyezi Mungu aliyemba vitu vyote.

Nyie waovu mliokua mnawakanyaga na kuwatesa watu eti mnajifanya wazalendo wa kulinda rasilimali wakati mlikua mnajilimbikizia mali. Mnafurahi ukaskini wa kudumu wa watanzania wakati nyie ni mabilionea mnaoneemeka na umaskini wa watanzania.

Hakuna mama aliyewahi kuwatesa watoto wake wakati ana uwezo.

Wakati wa kuendekeza uhuni naisururu ya wanawake na ulevi huku watanzania wengi wakiwa wanateseke ukekwisha.

Haiwezekani muwaumize watanzania kwa sababu tu mnataka mlipwe mamishahara makubwa nyie tu huku watoto wenu mkiwaajiri kiupendeleo na kikabila wengine wanakosa ajira wanabaki wakiendesha bodaboda na kuwa wamachinga.

Wewe ulifurahia nini wakulima wa Korosho waliponyanganywa korosho zao huku korosho zikiwa hazina mnunuzi maalumu. Hayo ndiyo mnayoyataka . Nchi iendeshwe kama genge la mamafia wanaoteka meli na kudai wapewe fedha.
Roho inawauma sana mana mlikua mmeshajipanga kuligawa hili taifa vipande vipande kwa uroho wa madaraka. Mungu sio binadam . Mungu alimuumba Shetani akiwa na sifa nyingi lakini kiburi ndicho kilichomshusha mpaka kuzimu.

Acheni kiburi mtafakari mlipokosea

Mungu ameamua kuwasaidia watu wake kwa namna anavyoona inafaa .
Ni zamu ya Mama Samia na Mungu amemchagua na ataliinua Taifa letu kwa unyenyekevu wake kama Malikia wa Sheba.
Mama Samia hoyeeeeeeeeeeeeee.
 
Mwendazake aliiba kura hakukuwa na uchaguzi,kama kufa ilishakufa mikononi mwa mwendazake SSH anaifufua
 
Kama kawaida, maskini bado mnahofia matajiri kuwa wakiendelea kupata pesa basi mtaumia. Yaani maskini wanapenda kila mtu awe masikini kama wao.
 
Mama Samia Amekalia kuti Kavu anawaregezea kamba wale Watu ambao Mtangulizi wake aliwatumbuwa Majipu? Watamuangusha muda sio mrefu.
Ukweli ni kwamba hakuna mtu ndani ya CCM alifurahia mibano ya JPM. Mama Samia kuruhusu ubwerere ndio utampa nguvu zaidi ya kukubalika ili tu watu wajilie vyao. Hata wewe hutofurahia kubanwa banwa na ukipata mtu akakuachia huru utampenda tu.

Biggest FACT ni kuwa waliopo CCM wanafurahia kujaza matumbo yao na sio kuminywaminywa!

Mwanasiasa Pekee aliekuwa anapigania wananchi wake waishi kwa raha ni Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad tu. Hakuwa mpenda sifa wala tamaa. Ndie pekee aliekuwa na msimamo thabit wala hakuwa akimuogopa mtu. Alikuwa anachana waziwazi. Waliopo saivi wanatizama upepo unapoelekea na wao wanafuata uko. Wengine tunaona walikuwa wakiponda chanjo na kuhimizi kujifukiza leo wanasema kituo cha kujifukiza kibomolewe!
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Wewe itakua mchawi au mtoto wa mchawi,ukiona vipi jiue ukakae n marehemu ahera
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Nami naamini hivyo baada ya kumsoma hotuba zake tatu, ya cag ya kuapisha mawaziri na ya leo.
Ndio hapa upinzani watapata chansi yao.
Kwanza mama anaenda tengeneza makundi ndani ya makubwa ndani ya chama ambayo tayari ni silaha kwa upinzani, Kupona itakua ngumu sana, pili anaenda rudisha nchi enzi za UNANIJUA MIE NANI?
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Wafanyabiashara na wewe imarisha mifumo yako ya Kutoz kodi
 
Watu waliichoka sana CCM, afadhali huyu Mama ameonekana japo kwa kauli tu anaanza kuleta nafuu kwa wananchi.

Watanzania kuna vitu fulani ukiwafanyia vidogo tu wanarudisha imani.

Bado ni mapema sana.

Bread and circuses.
 
Back
Top Bottom