Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Mabaki ya nwendazake poleni
 
Ife tu, nchi hii ni kubwa kuliko chama chako
 
Mimi ni raia wa Tanzania mwana CCM. Kwa asili chama chetu kimepigania Uhuru na ukombozi wa taifa(wananchi wote).
Huwezi zungumzia siasa za Tanzania bila TANU na baadaye CCM.
Hata hivyo, kuwepo wa siasa za ubaguzi, uonevu kwa baadhi ya wananchi kwa jina la uzalendo siyo lengo kuanzishwa kwake
CCM inatakiwa iongoze kwa mfano wa haki, demokrasia na kuimarisha umoja wa kitaifa. Hili ndilo aliloanza kuonesha Rais Mama Samia.
 
Kumbe hiki kizazi bado kipo.! Ungelikuwa wa maana sana kwanza ungelimuombea shujaa wenu pepo
 
Kwani CCM ikifa kuna chama kutoka Kenya kitakuja kutawala Tanzania?.
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Huyu ng'ombe alieandika hapa ni wa chattle anawivu amekosa teuzi tulia hivohivo nyanda dunia ni mzunguko ulizoea kula vya kunyonga sahaui hiyo sasa mlitumia msamiati wa wanyonge kujineemesha ninyi na koo zenu tulia sindano ziingie sasa rasmi mbona mtapoteana sana na bado mtapiga makerere sana uvccm
 
Kwamba unataka mama
1. Aendelee kuuwa watu watakaomkosoa kwa maslahi ya CCM?
2. Kuwanyanyasa wawekezaji mabeberu ili CCM ibaki?
3. Kuvifungia vyombo vya habari vilivyokataa kuimba nyimbo za sifa na mapambio?

Kwa taarifa yako, Waislam hawana roho za dhuluma, nk.
Mwacheni mama arejeshe furaha iliopotea tangu mwaka 2015.
 
wauza unga dawa za kulevya sasa wanarudi wafanyabiashara wezi wanarudi mimi ukweli huyu mama simkubali kabisa kabisa ukimuona mtu anamchafua mwenzie ujue sio mtu mzuri makufuli hakufukua makaburi ya mwenzake kikwete makufuli kama angekuwa fisadi angekuwa na acc nje ya nchi ila yeye alikuwa akiijenge tanzania watanzania kila kinachosemwa uongeze na akili yako
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Una lako jambo wewe sio bure, CCM ipo sana sio leo wala kesho.

Na watu design yako ndio huwa hamueleweki mtu akikaza oooh! Dikteta, Mama kaamua sasa mambo ya UHURU NA HAKI unaleta porojo zako hapa eboooh!
Uhuru na haki ni ajenda ya upinzani.
 
Uhuru na haki ni ajenda ya upinzani.
Kazi kweli kweli imesajiliwa wapi kuwa ni ya upinzani? kwahiyo watu wasipewe haki ati kisa ni ajenda ya upinzani.

Nchi ina falsafa ya UHURU NA UMOJA na penye umoja pana mshikamano na mshikamano ni tunda la HAKI.
 
wauza unga dawa za kulevya sasa wanarudi wafanyabiashara wezi wanarudi mimi ukweli huyu mama simkubali kabisa kabisa ukimuona mtu anamchafua mwenzie ujue sio mtu mzuri makufuli hakufukua makaburi ya mwenzake kikwete makufuli kama angekuwa fisadi angekuwa na acc nje ya nchi ila yeye alikuwa akiijenge tanzania watanzania kila kinachosemwa uongeze na akili yako
Alituambia waliopita ni wezi
 
Usimsingizie, CCM ilishajifia kitambo sana. Alichofanya JPM ni kusogeza mbele siku ya mazishi, ila yaja.
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Taifa kwanza chama baadaye wacha mama atende haki kama ccm kufa life tu,ccm ilishakufa ilibaki tanzania ya magufuli naye kaondoka nayo
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Mfanyabiashara fisadi tupi mama kamruhusu?unasahau ni nani aliyenleta na kumkumbatia rostam? Kama sio magu?acha upuuzi,msiwadhulumu wafanyabiashara kwa jina ufisadi
 
Ni suala la muda tu.

Kwa nyendo zake za mapema tu Samia anaenda kuizika rasmi CCM.

Ikumbukwe uiamara wa CCM ulikuwa umebaki katika ncha ndogo sana ya kuwapigania wanyonge japokuwa haupo ushahidi wa moja kwa moja kama kilifanya hivyo.

Pamoja na yote Hayati Magufuli alijiegemeza katika jambo hilo kwa sababu aliamini ncha hiyo aghalabu ingeendelea kumweka jirani na hao wanaoitwa wanyonge ili tu kwalo CCM iendelee kuwa madarakani.

Sasa kwa muziki wa huyo mama kwanza kuruhusu kulegezwa kwa baadhi ya masharti ambayo yalikuwa yamepewa mkazo na mtangulizi wake yakiwamo vibali vya kazi,kuruhusu wafanyabiashara mafisadi kurejea hiyo ni dalili ya kuwa rasmi tunarejea kwenye zama za unanijua mimi ni nani.

Samia ameamua kucheka na mabua kwa hakika mwisho wa CCM waja tena kwa kasi!
Acha kumtisha na atishiki, wewe unataka watu waonewe? Kusiwe na mazingira mazuri kwa wawekezaji, tra wapore fedha akaunti za wafanyabiashara, kubambikia kodi unapenda? Magu kiukweli ana dhamani kubwa sana, usitake na mama aendeleze madhambi, sasa watz wanavutana juu ya ubora wa jiwe, nasikia ati wanapendekeza kwenye sarafu kuwe na picha yake HAIKUBALIKI baadhi wanamchulia kama amewaweka katika hali ngumu wakati haikuwa lazima hawatendee hivyo! Kama kutolipa madeni ya ndani, kutopandisha mishahara/madaraja, kupora ushindi uchaguzi, kupendelea kwao na ukanda wake, bila kujali ameanzisha miradi gani, ila kama kwa dhuluma basi si mfano wa kuigwa! Apumzike kwa amani Mungu anajua!
 
Back
Top Bottom