Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

Samaki haina tabia ya kurudi nyuma kama misimamo ya FAZA NCHIMBI.
Samaki huwa anaenda mbele tuu.

Tumsahihishe alichotaka kusema ni kuwa Asiwe kama kambale!!!!
Mama ndevu baba ndevu watoto ndevu!!

SASA BI MDASHI MKAA MCHACHE😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hongera sana Mh Ndejembi


Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Amesema hapo kuwa Jinsi Samaki anavyokuwa mkubwa ndio akili inazidi kuwa ndogo.

Kitu ambacho sio kweli, na haki make sense.

SAMAKI NI MNYAMA WA KIPEKEE AMBAE UBONGO WAKE UNAENDELEA KUKUA JINSI ANAVYOKUWA. Binadamu ubongo unakoma kukua around miaka 25 ya umri.

"A fish's brain abilities generally do not degrade as it grows. In fact, for most of their lives, the exact opposite happens.

While humans and other mammals stop growing new brain cells early in life, fish possess an extraordinary biological trait: lifelong neurogenesis. Their brains keep producing new neurons and physically growing alongside their bodies."
MEDPUB
 
Kwa hiyo, hizo tafsiri zako za maneno ya Samia hazi make sense.

Kama ambavyo maneno yenyewe ya Samia haya make sense.

Na huyo Karume aliyewaambia kwamba samaki akikua anapoteza akili amewalisha marine biology famba!

Dunia ya leo ya mapinduzi ya taarifa huwezi kuja kuongea nonsense hapa kama tuko Pemba ya Karume, mwaka 1952
 
Samuya angefanya kolabo na Khadija kopa, wangetoa wimbo wa taarabu mzuri sana.
 
Rais anamuapisha makamu wake na kumpa maagizo ya kufanya!
Haya nayo ni maajabu. Kazi ya Makamu si ni kumsaidia Rais! Maagizo ni ya nini tena!
Kuna maajabu gani Rais kumpa maagizo makamu wake maana nafasi yake ukisoma Katiba hana tofauti na Mawaziri ambao wote wanalokea maagizo na maelekezo ya kiongozi mkuu wa nchi na serikali.
Halafu Makamu haapishwi na Rais
 
Kuna watu walidai kuwa Mh. V.P. ni Muislamu. Aliapa kwa kutumia msahafu gani?

Amandla...
Hii nchi unaweza kumuona mtu ukahisi anajitambua, kumbe anasubiiri kulishwa ujinga na wakina Maria Sarungi.
Maria aliposema Deo ni muslim, wajinga wake wote wakaanza kushindana kusambaza hiyo taarifa kama vile ma headless chicken.
 
Rais anamuapisha makamu wake na kumpa maagizo ya kufanya!
Haya nayo ni maajabu. Kazi ya Makamu si ni kumsaidia Rais! Maagizo ni ya nini tena!
Ndio tumefikishwa huko. ccm wanataka wote watumie mawazo ya mtu mmoja tu. Usiwaze kwa akili yako. Waza,tenda yale tu anayotaka mmoja wa juu.

Wapo wengine wenye mawazo mazuri tu humo,ila wanaogopa kuyatoa kwa faida ya taifa. Kwao mwenye mawazo mazuri ni mmoja tu. Pambio zote ni kwake.
 
Tukutane bambalaga tuagane kwa mara ya mwisho mlevi mwenzetu makamu wa rais
 
Back
Top Bottom