Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

Huyo Deo mbona anatetemeka wakati wa kuapa? Au anaona viatu hivyo havimfiti? Lol.
Ungekuwa wewe usingetetemeka?
Watanzania wanavyojua kusimanga, rasmi kijana wa watu anaingia kwenye midomo ya masimango ya watu.
Halafu anapokea cheo kutoka kwa mtu competent.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Makamu wa Rais Deogratius John Ndejembi kukua kiakili na kiuongozi, akisisitiza kuwa ukuaji unaohitajika si wa mwili bali wa hekima na busara. Amesema Ndejembi amepewa jukumu kubwa akiwa kijana kutokana na sifa, ari na uwezo wake.

Rais Samia pia amemtaka Ndejembi kutumia nafasi hiyo kwa kujifunza na kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, akimkumbusha kauli ya Marehemu Abeid Amani Karume ya kuwataka vijana wasiwe “kama samaki” wanaopoteza akili wanapokua. Aidha, ameshukuru CCM na Bunge kwa kumpitisha na kumwidhinisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais.

Utafiti gani unaoonyesha kuwa samaki akikua anapoteza AKILI???? Mambo ya kwenye taarabu ya kipumbavu! Kiumbe chochote kile kikikua kimwili na kiakili kinakua.....Utafiti wa kuwa samaki akikua anakuwa na Dementia umepatikana vipi? Huyu mama asituletee upumbavu wake wa kijinga. Sorry wazanzibari huwa hawana akili hata ile ndogo.....Huwa wanaropoka tu, wewe watu kama Jussa, Omo au Juma Dunia wana akili kweli? wanaropoka ropoka tu upumbavu, wameshamwambukiza Zitto Kabwe.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Makamu wa Rais Deogratius John Ndejembi kukua kiakili na kiuongozi, akisisitiza kuwa ukuaji unaohitajika si wa mwili bali wa hekima na busara. Amesema Ndejembi amepewa jukumu kubwa akiwa kijana kutokana na sifa, ari na uwezo wake.

Rais Samia pia amemtaka Ndejembi kutumia nafasi hiyo kwa kujifunza na kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, akimkumbusha kauli ya Marehemu Abeid Amani Karume ya kuwataka vijana wasiwe “kama samaki” wanaopoteza akili wanapokua. Aidha, ameshukuru CCM na Bunge kwa kumpitisha na kumwidhinisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais.

Nyie mnaomfatilia na kusikiliza hotuba za huyu mama mna moyo sana.😁😁😁🙌🏽
 
Hizo kauli zinadogosha nafasi ya VP! Huyo sio waziri au mteule.

Ndio hapo sasa...

Ni ni wapi umeona duniani mteuaji anamwambia mteule na wewe usije kuwa na akili za samaki ??

Kama we mwenyewe una wasi wasi kwamba hiki kijana kinaweza kuwa kina akili za samaki, kwa nini umetupachikia awe Vice President ????

So sad yani, the country is in the pits, big time...
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Makamu wa Rais Deogratius John Ndejembi kukua kiakili na kiuongozi, akisisitiza kuwa ukuaji unaohitajika si wa mwili bali wa hekima na busara. Amesema Ndejembi amepewa jukumu kubwa akiwa kijana kutokana na sifa, ari na uwezo wake.

Rais Samia pia amemtaka Ndejembi kutumia nafasi hiyo kwa kujifunza na kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi, akimkumbusha kauli ya Marehemu Abeid Amani Karume ya kuwataka vijana wasiwe “kama samaki” wanaopoteza akili wanapokua. Aidha, ameshukuru CCM na Bunge kwa kumpitisha na kumwidhinisha Ndejembi kuwa Makamu wa Rais.

WOSIA WA BABA WA TAIFA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
"...uwe na uwezo wa kuwaambia jamaa zako na marafiki zako, Ikulu ni mahali patakatifu......., mimi sikuchaguliwa na wananchi wa Watanzania kuja kupageuza kuwa pango la walanguzi.

Back
Top Bottom