deogratias john ndejembi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

    Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Makamu wa Rais Deogratius John Ndejembi kukua kiakili na kiuongozi, akisisitiza kuwa ukuaji unaohitajika si wa mwili bali wa hekima na busara. Amesema Ndejembi amepewa jukumu kubwa akiwa kijana kutokana na sifa, ari na uwezo wake. Rais Samia pia amemtaka...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu: Uteuzi wa Ndejembi, Mungu alizungumza na mimi

    Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..." Soma...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Hatutegemei Ndejembi ukaanze tena mambo yaliyotufikisha hapa, kamsaidie Rais wetu hatuhitaji kumuona akiwa na stress

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Msukuma, amemtaka Mbunge mwenzake, Deo Ndejembi, ambaye ametoka Bungeni baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM kuwa Makamu wa Rais, kutorudia mambo aliyodai kuwa yaliwafikisha katika hali iliyopo sasa, badala yake kutumia nafasi yake kumsaidia Rais...
  5. F

    JamiiForums Tanzania 'Deogratias John Ndejembi' tukiacha asili yake, ana sifa gani za maana kwa cheo kikubwa kama hicho?

    Kichwa cha habari hapo juu kiko wazi. Nina mambo kadhaa nayaangalia tokana na 'uteuzi' wa mhusika. Mosi, ana sifa gani ki-CCM zaidi ya kuwa mjukuu wa MCCM na kibaraka wa mama? Pili, kwanini yeye na si makada wengine welevu na wakongwe? Tatu, ameshindanishwa na nani? Nne, zaidi ya uanagezi...
Back
Top Bottom