ndejembi makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabalozi wameshuhudia uzuri wa Katiba yetu, tunaweza kubadili nafasi kubwa bila misukosuko

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uzuri wa Katiba ya Tanzania unawezesha mabadiliko ya viongozi katika nafasi kubwa za nchi kufanyika kwa amani na utulivu bila vurugu wala misukosuko. Amesema hali hiyo ni sehemu ya uimara wa mifumo ya Tanzania. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akiwashukuru...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

    Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Makamu wa Rais Deogratius John Ndejembi kukua kiakili na kiuongozi, akisisitiza kuwa ukuaji unaohitajika si wa mwili bali wa hekima na busara. Amesema Ndejembi amepewa jukumu kubwa akiwa kijana kutokana na sifa, ari na uwezo wake. Rais Samia pia amemtaka...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Elibariki Kingu: Uteuzi wa Ndejembi, Mungu alizungumza na mimi

    Mbunge wa Jimbo Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu, "Nikiwaambiaga watu mimi ni mtumishi wa Mungu, wengine wanafanya masiara, miezi miwili iliyopita mimi Mungu alizungumza na mimi na nilimpigia simu Deo, nilimwambia kuna jambo Mungu anakwenda kukufanyia nimefunuliwa na Mungu..." Soma...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu lini nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa wazi, akisema tarehe rasmi ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais ni Septemba 4, 2026, kwa mujibu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Ndejembi ni Mgogo, wanaoandika kwamba Deo katokea upande fulani, hawaelewi ni Kabila gani. Namfahamu kuanzia kwa babu yake

    Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, amesema taarifa zinazodai kuwa Deo Ndejembi anatoka upande fulani hazina msingi, akieleza kuwa Ndejembi ni Mgogo, huku mama yake akiwa anatoka Kilimanjaro. Amesema anamfahamu Ndejembi pamoja na familia yake kwa muda mrefu. Shabiby amesema anamfahamu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma: Hatutegemei Ndejembi ukaanze tena mambo yaliyotufikisha hapa, kamsaidie Rais wetu hatuhitaji kumuona akiwa na stress

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Msukuma, amemtaka Mbunge mwenzake, Deo Ndejembi, ambaye ametoka Bungeni baada ya kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM kuwa Makamu wa Rais, kutorudia mambo aliyodai kuwa yaliwafikisha katika hali iliyopo sasa, badala yake kutumia nafasi yake kumsaidia Rais...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Rais Samia amekuwa na jicho la mwewe kumwona Ndejembi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amempongeza Deogratius Ndejembi kwa kuonekana na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa msaidizi wake. Jana, Jumatano, Agosti 26, 2026, Ndejembi alipendekezwa na vikao vya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Makamu wa Rais, kuchukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi...
Back
Top Bottom