Rais Samia nchini Uganda katika Uapisho wa Rais Museveni

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
IMG_1037.jpg

IMG_1036.jpg

IMG_1035.jpg

IMG_1033.jpg


Nyingine:

IMG_1029.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Uganda Yoweri Museveni kabla ya mazungumzo yao Kampala nchini Uganda

IMG_1032.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya mazungumzo yao nchini Uganda.

IMG_1030.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir Mayardist kabla ya kuanza mazungumzo yao Kampla nchini Uganda mara baada ya tukio la Uapisho wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni.

IMG_1031.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Ethiopia Salhe-work Zewde kabla ya kuanza mazungumzo yao Kampla nchini Uganda mara baada ya tukio la Uapisho wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
 
Big up our Madam President kwa kuitendea haki Barakoa. Vaa mama tunakuhitaji mno. Hata Tanzania naomba uvae usiache. Tunakupenda. Umependeza sana. Very smart attire.
 
Ugly...!!! Japo hakuwa na namna ilikuwa lazima aende but it is ugly!!!!
Safari ya kampala ilikua haina jinsi lazima aende,yan aende kwenye utiaji wa saini wa pipeline then kwenye kuapishwa mu7 asiende!na nasikia tarehe 20 may mu7 atakuwepo dar kwenye utiaji saini na total wa kuanza ujenzi wa pipeline,kingine kikubwa kilichinifurahisha kwa safari hii deal la kuuza mazao south sudan,bonge la opportunity ili kwa wajasiriamali wa kibongo
 
Ni kama tumepata Vasco da Gama wa kike jamani

Unaonekana una wivu sana mtu akisafiri hasa kwa ndege...

Nakumbuka huu uzi ulimwita Salma ni rais kabla mods hawajarekebisha.

Safiri nawewe usijichimbie tu huko Ikulyamabambashi ukifukuzwa na fisi tu


PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA
 
Unaonekana una wivu sana mtu akisafiri hasa kwa ndege...

Nakumbuka huu uzi ulimwita Salma ni rais kabla mods hawajarekebisha.

Safiri nawewe usijichimbie tu huko Ikulyamabambashi ukifukuzwa na fisi tu


PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA
Kumbaff sana. Unadhani ulaya nilikwendaje na kuondokaje bila kupanda hiyo ndege?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom