Rais Samia naomba usimsahau Elia Wilinasi hata kwenye ukuu wa wilaya

Boss umeandika mafumbo sana. Unaonekana unauwezo mkubwa kwenye upande wa misemo.
Kundi la chawa wanawaza matumbo Yao tu, Mwisho watasema Mungu alikosea kumfukuza Adamu kwenye bustani kwa sababu M7ngu hakutumia demokrasia wakati wanamkumbatia Halina Mdee
 
Hiyo CV ndefu ya uhandisi wa mafuta na gesi haitomsaidia kwa hili.

Bora hata angekuwa msanii wa bongo fleva atunge wimbo uitwao “mbupu”.
 
Hapa duniani watu hujitangaza kwa utendaji wao, na sio kutangazwa kama bidhaa za dukani zisizo na mdomo, hivyo usimshushie heshima kwa kumgeuza bidhaa huyo Elia wako.
 
Hapa duniani watu hujitangaza kwa utendaji wao, na sio kutangazwa kama bidhaa za dukani zisizo na mdomo, hivyo usimshushie heshima kwa kumgeuza bidhaa huyo Elia wako.
Ni kweli boss ahsante kwa ushauri wako. Nitaufikisha huu ujumbe.
 
Mwambie huyo jamaa yako atafute sehemu ya kuanzia, aanze kutengeneza jina lake kuanzia hapo, akifaulu hapo, sifa za utendaji wake zitaenea duniani kote na anaweza akapata kazi nzuri zaidi ya huo ukuu wa wilaya unaotaka apewe.
sawa boss, ahsante sana
 
Back
Top Bottom