Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana,
maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea swala la utekaji,nazani utagundua hii inchi ina tatizo kubwa sana,na kwa nini watu wanan'ga'ngania madaraka?
Nani anamlipa mwenzake ? Nani anamlinda nwenzake ? Maboss wa Samia ni kiongozi wa Pochi (Treasury) na Kiongozi wa Sime (Army). Bila pesa na jeshi serikali yaki dictator lazima ianguke! #NRNE
 
Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana,
maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea swala la utekaji,nazani utagundua hii inchi ina tatizo kubwa sana,na kwa nini watu wanan'ga'ngania madaraka?
Ndege wafananao
 
Back
Top Bottom