Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

Kwa kweli wanastahili. Tumuongeze na Comrade Makonda.. kiboko ya Chadema na M/kiti wao Mbowe, Mzee wa Chopa.
Nakuakikishia Makonda hatamaliza mwezi kwenye huo wenezi, bahati mbaya siasa zenu ni za kutaka kumkomoa Mbowe na Lisu, uku nchi ikiumia na kuteketea kutokana na uongozi mbovu.

Kwa mwenendo wa spika anavyoliendesha bunge ni mtu wa kusifia kweli? Inafikia hatua hadi viongozi wa chama wanakemea kupitisha kila kitu kinacholetwa na serikali bungeni hata kama hakina masilahi kwa taifa wala kwa wananchi.
 
Tulia amepata nafasi ya kuwa Rais wa IPU si kwa Sababu ya umairi wake, kabebwa na jina la nchi baada ya kushindanishwa na wagombea kutoka nchi dhaifu. After all nchi itagain nini kutokana na hicho cheo chake?
Hiki cheo cha ipu hakina maana yoyote, kingekuwa na maana tungeshakisikia muda mrefu na kuona rais wa mabunge anafanya nini kwa nchi wanachama na nchi yake.
 
Hata majini ni zao la wanawake wasaliti.

Malaika walipokuja Duniani waliona wanawake ni rahisi kuingilika na kushawishiwa na kubadili kizazi cha binadamu Kwa ahadi ya kufundishwa uchawi.

Hakuna shujaa mbele ya ngawira.
Hao watu wawili wamelirudisha taifa letu utumwani Kwa Kasi ya 5G

2025 hawastahili Hata kuonekana kwenye ofisi ya tume ya uchaguzi wakitafuta fomu.

SIO kujengewa sanamu , Bali Hata Siku ya mwisho wao makaburi Yao hayastahili kujengewa .,,
Naona umejiandikia tu pasipo ukweli wa aina yoyote ile.
 
Amedanganya namimi nimempa ukweli kuwa De Tulia ndio wa kwanza na huyo aliyemtaja yeye alikuwa ni katibu mkuu wa CPA(Commonwealth parliamentary Association) Mwaka 2007-2014. Wakati kwa upande wa IPU Dr Tulia anakuwa mtanzania wa kwanza na mwanamke wa kwanza kutoka Barani Afrika kuwa Rais lakini pia anakuwa mwanamke wa tatu tangia kuanzishwa kwa umoja huo.
 
Umeng'ang'ania IPU as if it is big deal. Hichi cheo zaidi ya kujulikana kwa Tulia kimataifa tena kwa wabunge husika, hakina tija yoyote ya maana kwa taifa.

Unajua unawatukana Samia na Tulia wao wanakuangalia tu. Kuna siku watakufungulia mashitaka. Kwani mwanamke ni nusu mtu hadi ushindi wake uonekane wa maana kuliko hao waliotangulia? Acheni dharau kwa wanawake, mnaleta ubaguzi na kudhalilisha wanawake!! Kama unampongeza, mpongeze kama kiongozi siyo kwasababu ya jinsia yake
 
Mtanzania yupi aliyamtangulia Dr Tulia kuwa Rais wa IPU? Kwa hiyo kwa akili yako IPU ingekuwa haina tija ingekuwepo inafanya nini mpaka sasa? Mbona awali mlikuwa mnasema hawezi kushinda? Kwa hiyo aliposhinda ndio ikageuka na kutokuwa na tija? Acheni ukinyonga wa akili .acheni roho mbaya na chuki binafsi.acheni wivu.acheni roho za kwanini.acheni Majungu,fitina na ushetani wenu.
 
OK tunza hii,
Mashetani aina yako ndio hujaa na kujazwa miroho ya kishetani na vitisho.siki zote ukimshinda shetani lazima aanze vitisho.wewe ni shetani na mwendawazimu unayepaswa kutokuwepo Katika Dunia iliyostaarabika. Usiniletee vitisho hapa .kwenda zako huko na ukichaa wako.
 
Tunarudi kwenye masanamu tena?

Hilo nalipinga kabisa tena.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya historia kubwa na ya kipekee waliyoiandika katika Taifa letu na Dunia nzima kwa ujumla wake pamoja na mchango na

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Hivi machawa wanalipwa na serikali? Maana walipa kodi wetu kuwalipa hawa wajinga jinga tusikubali
 
Mtanzania yupi aliyamtangulia Dr Tulia kuwa Rais wa IPU? Kwa hiyo kwa akili yako IPU ingekuwa haina tija ingekuwepo inafanya nini mpaka sasa? Mbona awali mlikuwa mnasema hawezi kushinda? Kwa hiyo aliposhinda ndio ikageuka na kutokuwa na tija? Acheni ukinyonga wa akili .acheni roho mbaya na chuki binafsi.acheni wivu.acheni roho za kwanini.acheni Majungu,fitina na ushetani wenu.
Tueleze basi faida ambazo taifa litafaidika kutokana na ushindi wa Tulia huko IPU? Au unasifia kitu usichokijua hili uonekane? Unafiki nao ni kipaji, siyo?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa

0742-676627.
kabisa ila kwenye ujenzi huo wa sanamu, Hamisi Kigwangala asiwepo hata kwenye kamati tu.... atatupiga tena....
 
😄😄😄😄 Siyo masanamu ya kuabudu bali ya kumbukumbu
Kumbukumbu ya nini, na wanfanya wajibu wao.?

Tuwasifie na tuyaenzi wakiwa hai, wakisha kufa, ni wao na Muumba wao, wataobaki hayawahudu.

Masanamu ya watu yaliyowekwa mengi yananyiwa na ndege, na nyumba za nyigu, ndiyo kuwaenzi huko?

Hili la masananmu, mimi sipo na wewe. Kwanza imani yangu na imani ya mama Samia haituruhusu kufanya au kufanyiwa masanamu.
 
Kwanza, Tulia mwenyewe, ni sanamu tosha.
 
Kwanza, Tulia mwenyewe, ni sanamu tosha.
Mwacheni modo wetu.

Hukumsikia mzee muhuni wa Kariakoo jana? Naibu spika Zungu, unamwambia "amepanda juu".

Ikabidi hata Tulia mwenyewe achekelee kwa furaha.
 
Back
Top Bottom