Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,584
- 23,878
- Thread starter
- #61
Kwa kazi ganiKama ni Sanamu ajengewe CAG Kichere.
Kwa kazi ganiKama ni Sanamu ajengewe CAG Kichere.
Andika vitu vya maana vinavyoweza kumsaidia rais samia jinsi ya kuendesha nchi na kutatua kero za wananchi eg umeme ,maji na mbolea huu msimu wa kilimo.sio kusifia tu .sasa hayo masanamu yatatusaidia nini watanzania.acha uchawa kama huna connection kupata teuzi ndio usahauNingewezaje kuandika kama sina akili.au kwako akili ni kuandika kile unachokitaka wewe na kuwaza?
Kipi ambacho sijawahi Kuandika katika jukwaa hili? Mimi nimeandika kugusa kila eneo na kila Secta na Kama kuna mahali unapoona sijagusa au kuzungumzia basi na wewe unayo haki na uhuru wa kuandika kulingana na mtizamo wako.Andika vitu vya maana vinavyoweza kumsaidia rais samia jinsi ya kuendesha nchi na kutatua kero za wananchi eg umeme ,maji na mbolea huu msimu wa kilimo.sio kusifia tu .sasa hayo masanamu yatatusaidia nini watanzania.acha uchawa kama huna connection kupata teuzi ndio usahau
Kamjengee sanamu kiwanjani kwako unafikiri watanzania wote ni wapuuziNdugu zangu Watanzania,
Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya
0742-676627.
Midiocre=Mediocre.Midiocre mind
Midiocrity thinking
Midiocracy
Think again
Kwa kazi kubwa na yenye kugusa maisha wa mamilioni ya watanzania wanastahili heshima hiyo ya kujengewa sanamu ili kuendelea kukumbukwa vizazi na vizaziKamjengee sanamu kiwanjani kwako unafikiri watanzania wote ni wapuuzi
Ukute ujawai kuonjeshwa hata asali
Mmerogwa na Nani?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kamjengee kwenye kiwanja chakoKwa kazi kubwa na yenye kugusa maisha wa mamilioni ya watanzania wanastahili heshima hiyo ya kujengewa sanamu ili kuendelea kukumbukwa vizazi na vizazi
Kondoo ni nyingi sana aseeKamjengee kwenye kiwanja chako
Usilazimishe watanzania tuwe mbumbumbu kama wewe
Wewe huoni aibu
Miradi kibao inasuasua
Teuzi za hovyo
Migogoro ndani ya chama
We hujui?
We huoni?
Ukute ndugu zako kijijini wanashindia mlo mmoja unaleta upuuzi hapa
Stupid
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Unaambiwa husikii sasa Mungu atashughulika na wewe kikamilifu ,gharika juu yako itakua kubwa kuanzia wewe mpaka familia yako ,asema BwanaNdugu zangu Watanzania,
Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya historia kubwa na ya kipekee waliyoiandika katika Taifa letu na Dunia nzima kwa ujumla wake pamoja na mchango na
0742-676627.
Tuliza kichwa chini maana naona ni kama umevurugwa akili yako.unaposema miradi inasua sua ni ipi hiyo miradi? Huoni bwawa la mwalimu Nyerere lipo zaidi ya 92% mpaka sasa?Kamjengee kwenye kiwanja chako
Usilazimishe watanzania tuwe mbumbumbu kama wewe
Wewe huoni aibu
Miradi kibao inasuasua
Teuzi za hovyo
Migogoro ndani ya chama
We hujui?
We huoni?
Ukute ndugu zako kijijini wanashindia mlo mmoja unaleta upuuzi hapa
Stupid
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kipya kipi kimefanywa ambacho Marais na Maspika wengine hawakufanya kinachopelekea wajengewe minara? Namba yako ya simu wanayo muda mrefu, lakini kama ni kwa akili zako hizi utokaa uteuliwe nafasi yoyote, bora tafuta mme uolewe.Kwamba hufahamu na huoni mchango wa Dr Samia Katika Taifa letu? Huoni namna alivyoleta mapinduzi katika kila Eneo? Huoni namna alivyosaidia makundi mbalimbali kupata matumaini kutoka katika hali ya kukata Tamaa?
Kwani hujaona maajabu na makubwa aliyoyafanya Rais samia hapa nchini? Huoni mchango wa Dr Tulia katika jiji la Mbeya?Kipya kipi kimefanywa ambacho Marais na Maspika wengine hawakufanya kinachopelekea wajengewe minara? Namba yako ya simu wanayo muda mrefu, lakini kama ni kwa akili zako hizi utokaa uteuliwe nafasi yoyote, bora tafuta mme uolewe.
Wewe ni kipofuTuliza kichwa chini maana naona ni kama umevurugwa akili yako.unaposema miradi inasua sua ni ipi hiyo miradi? Huoni bwawa la mwalimu Nyerere lipo zaidi ya 92% mpaka sasa?
Teuzi zipi za hovyo unazozisema wewe? Kwa kipimo kipi ulichokitumia kuziita za hovyo? Ateuliwe nani ndio zisiwe za hovyo ? Au kwa akili yako kisoda ni mpaka ateuliwe yule au wale unaowataka wewe tu?
Unaposema migogoro ndani ya chama.je ni chama kipi hicho unachokisema ? Hicho chama hakina viongozi? Hakina katiba? Hakina wanachama? Hakina miongozo? Hakina utaratibu wa kushughulikia migogoro? Embu acha kufakamia mipombe ukiwa na kinjaa yako Tumboni.
Nataka unitajie hiyo migogoro ndugu yangu ili nami niifahamu. Suala la Makonda kusema amezuiliwa Marekani nalo ningependa kukwambia kuwa Marekani siyo wa kuwaamini kwa kila kitu.kumbuka ni hao hao Marekani walioivamia ulaki na waliomuua Sadam Husseni kwa kusema kuwa kuna silaha za maangamizi.sasa nikuulize je hizo silaha walizikuta? Wewe binafsi ulionyeshwa kupitia chombo chochote cha habari? Hizo silaha umewahi kuziona?Wewe ni kipofu
Una uhakika miradi haisuisui?
Una uhakika hakuna mgogoro ndani ya chama?
Kaka Mimi binafsi nyuzi zako huwa nazifatilia Sana
Ila kwanini useme uongo?
Wewe huoni teuzi za hovyo?
Makonda ni teuzi nzuri?
Mtu amepigwa marufuku kuingia Nchi ya Dubwana? Hujui ? Unajua kwanini alizuiliwa?
Asee kwenye miradi ni mingi mno
Migogoro nadhan na wewe unaijua
Be chance
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Sawa hatuwaamini ila vipi mbona mnapokea ajenda zao kwanini mnafata system yao au hujui?Nataka unitajie hiyo migogoro ndugu yangu ili nami niifahamu. Suala la Makonda kusema amezuiliwa Marekani nalo ningependa kukwambia kuwa Marekani siyo wa kuwaamini kwa kila kitu.kumbuka ni hao hao Marekani walioivamia ulaki na waliomuua Sadam Husseni kwa kusema kuwa kuna silaha za maangamizi.sasa nikuulize je hizo silaha walizikuta? Wewe binafsi ulionyeshwa kupitia chombo chochote cha habari? Hizo silaha umewahi kuziona?
Marekani hao hao si ndio walikuwa wanampaka matope gadafi hadi wakamuua? Je madai yao yalikuwa ya kweli? Je libya imetulia hadi leo? Usiwaanini Marekani kwa kila kitu kitakacho midomoni mwao maana ni wanafiki sana na wachonganishi hasa maslahi yao yanapoguswa.
Huna AKILI kabisa ww unashindwa kumuheshimisha baba yako mwanaume aliyekuzaa unakaa kusifikia wapuuzi.Tunataka kusikia baba yako aliyekuzaa unamjengea sanamu ngedere ww acha kusifia upuuzi.Ndugu zangu Watanzania,
Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya
0742-676627.
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na kushindwa cha kujibu. Mwenye busara na hekima hujibu hoja kwa hoja tu.Huna AKILI kabisa ww unashindwa kumuheshimisha baba yako mwanaume aliyekuzaa unakaa kusifikia wapuuzi.Tunataka kusikia baba yako aliyekuzaa unamjengea sanamu ngedere ww acha kusifia upuuzi.




