Hata kama nina ndugu ambao hawana ajira lakini haiondoi ule ukweli kuwa viongozi wetu hawa wanafanya kazi kubwa sana. Ikiwepo kutoa ajira kwa vijana.mfano Dr Samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ametoa maelfu ya ajira kwa vijana mbalimbali nchini ,japo siyo wote waliopata lakini vijana waliobakia wanamatumaini kuwa watapata tu katika uongozi wa Rais samia.ukija kwa Dr Tulia naye amewawezesha vijana wengi sana mkoani Mbeya kwa kuwapatia mitaji ya kutosha kupitia vikundi vyao.amewapatia pia vijana bodaboda na bajaji bure kabisa ambazo zinawasaidia vijana kujipatia kipato kila siku na kuendesha maisha yao na hivyo kuondoa utegemezi wa kipato.
Hapo Mbeya, watoto wa viongozi gani wanafanya bodaboda? Niambie mzazi gani anapereka mtoto shule ili aje awe bodaboda, na upuuzi mwongine wa vicoba? Unajua watoto wa kikwete na Tulia wanafanya kazi gani?
Bodaboda na upuuzi mwingine,ni kazi tunafsnya kwa kuwa hakuna ajira za maana! Kijana wa TZ anahitaji kazi yenye mapato ya kumuwezesha kuishi vzr na familia, kuweka akiba, nk, mapato chini ya milioni 12! Kwa, mwaka, ni umaskini mtupu!
ZinazohiZinazohitajika ni ajira za viwandani,sio za vibarua kama pale urafiki, vijana w anahitaji ajira kama wale vijana walioajiliwa tigo,Vodacom, Airtel, (kampuni mama)
Ajira ambayo unaweza ukaamua kuitoa out familia, ukaenda hata zenj kula bata! Kijana wa boda anaweza hivyo?
Watoto wa kikwete ni marubani Uarabuni! Wewe unajivunia kuwa na vijanabodaboda wengi!!
CCM wameishashindwa, mfano mdogo tu, Kandarasi zote za madaraja,kule zenj, stend ya mabasi na uwanja wa Amani unajengwa, mkandsrasi ni mchina! Pesa inaenda nje! Kwa nini sio kampuni ya Ki Tanzania!?